Lord K
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 213
- 37
Ndugu zangu wana JF, TUMESHUHUDIA NA KUSIKIA MENGI YAKIFANYIKA NDANI YA SERUIRIKALI HII DHALIMU YA ccm.Ndani ya utawala huu tumeshuhudia wananchi tukiingia gharama ambazo hakika hatuzistahili.Mikataba mibovu ya madini,Uongozi wa Kishkaji,mfumuko wa bei, Ufisadi uliopindukia,Serikali isiyotaka kuwajibika,vyombo vya dola kutumika kwa maslahi ya chama tawala,ubovu wa huduma za kijamii kwenye taasisi za serikali, Ma Richmond,Ma dowans ,Ma RADA,mA aGRECO,WANYAMA KUSAFIRISHWA,mIGODI WATU WANAVUNA KAMA KWAO NA KODI HAWALIPI,WIZARA YA AFYA SIJUI NINI,MARA SIJUI JAIRO KACHANGISHA BILIONI NGAPI KUPITISHA BAJETI.................AAAAAAAHHGH,IMETOSHA WATANZANIA LETS DO SOMETHING, ITS TIME FOR ACTION YES, TIM E FOR REVOLUTION ,,,KUJIFANYA TUNALINDA ''AMANI''HUKU TUNANYANYASIKA ,HATA MUNGU HATATUSAMEHE ,,,HATA YESU/NABII ISSA ALIPOONA WANYANG'ANYI WAMEFANYA NYUMBA YA BWANA PANGO LAO ALICHUKUA HATUA KWA VITENDO...