Chenge
JF-Expert Member
- Oct 5, 2011
- 1,073
- 378
Aiseee,kumbe picha tunazoonyeshwa kwenye TV zimechakachuliwa.Mbona wakionyesha kwenye TV watu wanaonekana ni wachache na kamera inaelekezwa sehemu moja tu?Click hii link hapa chini uone nyomi la CDM huko Arumeru.Safari hii CCM watajinyea!
Slaa azidi kufunika Arumeru - YouTube