CCM imeishiwa sera? Ya Vicent Nyerere, Dr. Slaa yatawasaidia nini wana-Arumeru? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM imeishiwa sera? Ya Vicent Nyerere, Dr. Slaa yatawasaidia nini wana-Arumeru?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by DOTTO MUNGO, Mar 22, 2012.

 1. D

  DOTTO MUNGO Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna umuhimu gani kusema Visent Nyerere si ndugu wa marehemu Mwl J K? Ya nini maneno ya kuwa Dr. Slaa kafukuzwa kwa sababu ya kuiba fedha za ujio wa marehem Pope Yohane paulo wa pili-1991?

  Hii ni dalili tosha kuwa ccm imeishiwa Sera za kuifanya iendelee kuwa madarakani hasa kwa kutoa ahadi nyingi zisizotekelezeka kwa wananchi. Ni bora wasingeshiriki ktk uchaguzi kwani inaonesha jinsi gani kinavyokurupuka.

  Tazama Mkapa kasema Visent Nerere si ndugu wa marehem Mwl J. K. Inawahusu nini wana-Arumeru? Yamefuata ya Dr. Slaa, tusikilize kesho watasena ya Lowassa, Sitta, Mwakyembe au Ndesa.

  Hii ni dalili mbaya kwa chama hiki.
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hiki si chama
   
 3. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni genge la majambazi
   
 4. Kiluilui

  Kiluilui Senior Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sio ivyo ni kwamba mfa maji haachi kutapatapa...... na kama ilivyo ada hayawi hayawi yamekuwa sasa...!
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  s wha???????????/
   
 6. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ni chama MAITI MAWAZO YAO WANAFIKIRI KAMA MAITI.
   
 7. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ndio wanakwenda hivyoo,hawana jipya
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hizo ni tuhuma tosha za kumfanya mtu asiwe kiongozi bila kujali kasema CCM , CUF au nani. Kama kuna haja ya kujisafisha wafanye hivyo siyo kutetea uovu mkuu.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Siyo mgomo wa madaktari tu, huhamasisha hata wananchi wagomee shughuli za maendeleo katika maeneo yao. Unakumbuka STELA MANYANYA alivyomtoa nishai SLAA alivyokwenda na propaganda za kitoto kule jimboni kwake.
   
 10. m

  mzizi dawa Senior Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm nigenge la majambazi na huni watupu,atuwezi endelea na ili genge kila mtanzania aliogope sana genge ili.ili genge lipo tayari watanzania wengi wapoteze maisha yao wao wapate masilai yao,hawa niwauaji,tusi wakubali.
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mwanasisa laima awe na ngozi nguvu -SITTA. CHADEMA mbona mnadhiihirisha ubovu wenu? mangapi mmewpakazia Magamba na mpaka sasa wanapeta? jibuni tuhuma siyo kulalama.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Sasa unawatukana CHADEMA, hata wapiga kura wenyewe tunapigia CHADEMA siyo kwamba ni chama chenye uwezo kama CCM bali ushabiki wa kigenge-genge tu, si unajua tena mambo ya kiswazi swazi.
   
Loading...