Urafiki wa Tanzania na Msumbiji wa kinafiki

Materu

Member
Jun 5, 2011
14
0
jamani mimi nipo msumbiji,kinachotupata
huku watanzania mungu ndio anajua.tunavuliwa nguo na poli
si,tunanyang'anywa pesa na paspoti na
wengine wamepigwa risasi.jambo hili
haliitaji uchunguzi,wewe jifanye tu unakuja
msumbiji kupitia mtambaswala au mtwara
yatakayokupata utajuta
 
Poleni sana kama ikibidi rudini nyumbani, ama jaribuni kuwasiliana na balozi wetu ingawaje hao ndugu zetu wa balozini hawana kawaida ya kuwasaidia watanzania; najua mnatafuta maisha hivi kweli mkishindwa maisha Tanzania mtapata nini kwenye nchi yenye umasikini uliokithiri kama Msumbiji?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
jamani mimi nipo msumbiji,kinachotupata
huku watanzania mungu ndio anajua.tunavuliwa nguo na poli
si,tunanyang'anywa pesa na paspoti na
wengine wamepigwa risasi.jambo hili
haliitaji uchunguzi,wewe jifanye tu unakuja
msumbiji kupitia mtambaswala au mtwara
yatakayokupata utajuta

Sasa kama mnapigwa na kunyanyaswa kwanini muendelee kukaa huko Msumbiji? Rudi Bongo bana!
 
Urafiki wa nchi nyingi za afrika na Tanzania umejengwa juu ya msingi wa historia ya Tanzania, SI juu ya tabia ya nchi hii iliyopo sasa.

Tanzania ya zamani ilikuwa nchi ya watu wapenda ukweli na haki, watu wakali lakini wakarimu ajabu. Watanzania wa sasa wanajulikana zaidi kwa UWONGO, wenyewe mnaita longolongo, UTAPELI, USAFIRISHAJI WA MIHADARATI, au hata wizi.

Inawezekana kabisa nyie ndugu zetu mliopo Msumbiji kwa sasa ni VICTIM (Kiswahili cha victim sijui ni nini), kwa hiyo jaribuni tu kuwaeleza sababu zenu hasa za kuwa huko zenye mantiki watawaelewa. Yaani mjitofautishe na hisia ambazo pengine wanazo kuhusu Watanzania wa sasa.

Mimi nilikwenda Afrika ya Kusini mwaka 1992. Wakati ule bado sifa za Tanzania ya zamani zilikuwa hazijafutika sana. Nilipokelwa kwa heshima sana, tofauti za taarifa za mapokezi ya Watanzania kule Afrika ya Kusini miaka ya baadaye baada ya hizi tabia za UWONGO UWONGO, UTAPELI TAPELI pamoja na usafirishaji wa madawa kushamiri.

Njia iliyo rahisi nadhani ni kurudi tu nyumbani kama walivyosema wengine. Pamoja na kuwapo changamoto za hapa na pale nchi yetu inazo nafasi nyingi sana za kujiendeleza. Kujieleza kukionekana kutokusaidia, rudini tu nyumbani.

jamani mimi nipo msumbiji,kinachotupata
huku watanzania mungu ndio anajua.tunavuliwa nguo na poli
si,tunanyang'anywa pesa na paspoti na
wengine wamepigwa risasi.jambo hili
haliitaji uchunguzi,wewe jifanye tu unakuja
msumbiji kupitia mtambaswala au mtwara
yatakayokupata utajuta
 
Frontela ni noma msumbiji wakikushika wanakuvua nguo wqnakupiga hadi uwaachie pesa zote kiasha unarudi tz kwa mguu.
 
huko msumbiji ni noma mkuu.nilishawai kufika huko mwaka mmoja. ilikua ni maeneo ya machimboni unaingilia njia ya ruvuma.kwa kweli kuishi kule inategemea siku hiyo askari wameamuka vipi wale jamaa sheria.sheria yao kubwa ni viboko na bunduki basi na mbaya zaidi hawaitaji maelezo na wakishajua ni wewe mtanzania ndio mbaya zaidi wewe ni kufuata amri tu..hao jamaa kwao askari kukosa bunduki ni sawa tanzania mgambo wa jiji kukosa rungu..
 
wengi mmeshauri turudi hm,sijakataa
lakini ikumbuke tulitangaziwa na marais
wote wawili kwamba tubadilishane uzoefu
ndio tukachangamkia.bongo kweli ni fresh
lakini ukiwa na capital,mikopo benk mpaka
uhonge ndio maana tunatafuta,bongo yeny
ewe ajira hamna mpaka uwe na ubini wa mwanasiasa ndio maana hata mtoto wangu
shuleni nimemwandikisha jina Emanuel
Kikwete! kuna aliesema msumbiji masikin
sio kweli,buku ya msumbiji ni sawa na elfu
sitini ya bongo
 
mangi .... ambonyi

mkiki utavo msumbiji ..... karibu kanyi
 
Hawa jamaa tulicheza nao alamba alamba muda umepita zimeingia single mpya nani anakumbuka alamba alamba tena?
 
Hawa jamaa ndugu zetu wengi tu walimwaga damu kwa ajili ya ukombozi wao, makabuli yamehamishiwa mtwara miaka ya karibuni tuu. But wameshaa sahau. Walitutukuza wakati hou leo wamesahau. Wakishajua wewe ni mtanzania hawakupi hata nafasi ya kujitetea wanajua utawashinda Tns peche nyingi.
Play safe or come back home arawa.
 
my God yaani hela ya Msumbiji imeshaizidi thamani hela yetu? hii ni aibu kubwa kwa serikali yeu.mwaka 2004 nilikuwa Maputo na buku yetu ilikuwa sawa na meticais 23000.inakuwaje hela yetu inashindwa kuwa stable? au bwana Materu umekosea kidogo?
 
wengi mmeshauri turudi hm,sijakataa
lakini ikumbuke tulitangaziwa na marais
wote wawili kwamba tubadilishane uzoefu
ndio tukachangamkia.bongo kweli ni fresh
lakini ukiwa na capital,mikopo benk mpaka
uhonge ndio maana tunatafuta,bongo yeny
ewe ajira hamna mpaka uwe na ubini wa mwanasiasa ndio maana hata mtoto wangu
shuleni nimemwandikisha jina Emanuel
Kikwete! kuna aliesema msumbiji masikin
sio kweli,buku ya msumbiji ni sawa na elfu
sitini ya bongo

Kama ndivyo ilivyo kwa maelezo yako, basi kubali kupigwa virungu na kuvuliwa ch**i!
 
huko msumbiji ni noma mkuu.nilishawai kufika huko mwaka mmoja. ilikua ni maeneo ya machimboni unaingilia njia ya ruvuma.kwa kweli kuishi kule inategemea siku hiyo askari wameamuka vipi wale jamaa sheria.sheria yao kubwa ni viboko na bunduki basi na mbaya zaidi hawaitaji maelezo na wakishajua ni wewe mtanzania ndio mbaya zaidi wewe ni kufuata amri tu..hao jamaa kwao askari kukosa bunduki ni sawa tanzania mgambo wa jiji kukosa rungu..

Hii kali sijui kama askari hao wamepewa elimu ya uraia!

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
jamani mimi nipo msumbiji,kinachotupata
huku watanzania mungu ndio anajua.tunavuliwa nguo na poli
si,tunanyang'anywa pesa na paspoti na
wengine wamepigwa risasi.jambo hili
haliitaji uchunguzi,wewe jifanye tu unakuja
msumbiji kupitia mtambaswala au mtwara
yatakayokupata utajuta

Ni kweli kabisa nilikuwa huko kwa muda wa wiki mbili, kile nilichokishuhudia pale Nanyupu ni balaa watz wanauliwa kama kuku, kwakweli nilikuwa naiandaa hii habari kwa kirefu zaidi lakini nashuru umeiweka hapa ndugu,

Binafsi nimeshuhudia mauaji ya raia watatu wa tz pale Nanyupu kutoka kwa polisi ya Msumbiji, udharirishaji kwa wanawake hasa wanawapekua kwa kuingiza mikono sehemu za siri na kwenye matiti

Kwa ujumla hali ni mbaya sana kwa watz huko Msumbiji, juhudi za haraka zinahitajika kunusuru ndugu zetu huko!
 
lakin tuangalie kwa upande mwingine huko machimbon mnapozungumzia kuna fujo kinoma zinazosababisha na wtz wenyewe. Biashara za kuuza wakina dada zetu zinafanywa na watz. Pili hata watu wenyewe hamna ushirikiano. askari hawangalii kama ni mtz wala nini mbona the same kesi. Inawakuta wasenegali. Juzi kati kuna watu wamepigwa risasi hapo montupuez akatoka kiongoz wa watz toka Pemba kwenda kuwashughulikia kuhusu hii skendo, na katika makubaliano na mkuu polisi mkoa Ilikuwa walau wapunguze hizo vamiavamia. Lakin huwez amin watz walivokuwa wanapiga chenga toka saa saba wahusika wamekuja onekana saa kumi jion. tujifunze kuishi kiugeni kuliko kujifanya tunajua kuliko wageni. Etc mtu unatoa dola 300 kutoa bikra tu Halafu ukikamatwa ulalamike Kwan hamjui kuwa na hela za kigen bila kibali ni marufuku?
 
Back
Top Bottom