CCM waanza ukatili Arumeru

Hawa jamaa wa CCM kama ubunge tu wanataka kuua je urais 2015 tujiandae kuona makubwa kuliko ya Kenya. Naomba ifikapo Augost 2015 tuwaite akina Ocampo kabisa waje kushuhudia wafa maji wakileta fujo ili wakiende the hague wawe na ushahidi kabisa
 
Hivi hajawashtaki tu hao!!! Maana huo ubabe umepitiliza kwa kweli!!!!.
 
yule kiongozi wa chadema aliyetekwa aliteseka sana,inasemekana watesaji walimminya korodani zake.haya yalifanywa na squad maalum ya ccm iliyoweka kambi pale gateaway usa.so sad!wameru wametulia lakini wageni wanafanya uharamia.
 
Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaap ! Hii habari yakupika wazi wazi ili mpate huruma ya wananchi. Kweli CDM mmeshikwa pabaya Arumeru

Hapa tunakazi kubwa ya kuelimisha! yaani pamoja na ushahidi huo bado unang'ang'ana tu!
 
Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaap ! Hii habari yakupika wazi wazi ili mpate huruma ya wananchi. Kweli CDM mmeshikwa pabaya Arumeru

Kama tumeipika unaweza kutuonesha jiko na chungu cha kupikia? Umefurahi alivyopigwa je angekuwa CCM ungesema hayo, come on you stupid umepofuka hata huoni? unaleta porojo na majina ya watu yametajwa, sasa mnaogopa nini sisi kuwa na kabrasha la wapiga kura au kwa kuwa mnaona itakuwa vigumu kuiba? shame on you suck!
 
Back
Top Bottom