Jamani leo sioyi kajichanganya tena maskini ya mungu da hii kali tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani leo sioyi kajichanganya tena maskini ya mungu da hii kali tena

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THEO LYIMO, Mar 21, 2012.

 1. T

  THEO LYIMO Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo katika jitiada za kupunguza asilimia za joshua kushinda sioi amejichanganya tena kwa kusema kuwa anafahamu vijiji vya arumeru vyote 74 wakati ni 86 maskini ya mungu atumie ile karatasi yake aangalie mambo yalivyo hajui vijiji viko vingapi

  baridi barafu
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,889
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  siyoi halali kwa kukariri vitu vya kusema kwenye kampeni.
   
 3. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,699
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Halafu nimemuona amepoteza confidence kabisa anakariri mambo.
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,613
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Hawezi jukwaa,ivi bungeni c ataogopa viti? Amefeli.'shukrani kwenu watu wa mkoa wa arumeru'
   
 5. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,699
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Halafu nimemuona amepoteza confidence kabisa anakariri mambo.

  Wananchi wa Arumeru wakimchagua huyu ni jaga la arumeru.
   
 6. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,141
  Likes Received: 1,335
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo kijana siasa analazimisha?
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Jamani Mkenya lini kaijua Meru?
  Wapiga kura kuweni makini sana ccm wanataka kuwapoteza!
  Katika wagombea wote ni Joshua Nassari peke yake anayeijua Meru vizuri.
  Chagua Nassari
  Chagua CHADEMA
  Chagua Maendeleo
   
 8. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Memo has given this post a heavy LIKE!!
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 16,323
  Likes Received: 5,838
  Trophy Points: 280
  kwa jinsi kijana anavyoonekana kwa sasa kweli siasa ngumu. Jamaa amechoka anatamani leo iwe ndio mwisho kampeni.!
   
 10. t

  tweve JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  lkn ye si mkenya jamani!hawezi kuijua arumeru huyo
   
 11. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Sioi Sioi Sioi sioi kwanini unaendelea na kampeni za nini?
   
 12. T

  THEO LYIMO Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amekataaa kuja hapa nkoaranga coz yaani nyie mtasikia hapa hakuna ccm hata leo wamemletee noma mwenyekiti wao noma na wa jumuiya ya wazazi

  mama mmoja akasema akitaka ampe kura yake labda agawe hereni alizotoka nazo nje
   
 13. K

  Kassalawamwigamba New Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini mmemsoma Mwanakijiji kwenye Tanzania Daima leo? vp hiyo suggestion yake ya viongoz wakuu wa Chadema kuresign?!
   
 14. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,889
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kuna kitu kaahadiwa!
   
 15. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  analazimisha mwenyewe nimemuona...sijui magamba walimpitisha kwa vigezo gani?
   
 16. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  za leo zilisanda kiukweli
   
 17. O

  Original JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo kijana anaijua vyema sana mitaa ya United Kingdom kuliko vijiji vya wilaya ya Arumeru. Ni bora agombee Ubunge UK ama kenya.
   
 18. a

  african mushi New Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naamini katika wagombea wa ubunge Arumeru Mashariki,Nassari ana uwezo mzuri wa kujenga hoja kuliko wenziwe na hiyo ni sifa muhimu ya mwanasisia.
   
 19. R

  Rweye JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,002
  Likes Received: 2,268
  Trophy Points: 280
  Nashauri aendelee kuwepo ili tuweze kuuona ubora wa kijana wetu N,Joshua make hautaweza kujua ni kwa kiasi gani dogo yuko fiti kama atakosa wa kusimama nae,mwisho kabisa,niwashukuru sana CCM kwa kuleta andazi likapambane na jiwe

  CDM 4lfe,kamua bab,kamua sana
   
 20. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hiyo yote ni tisa lakini la Sioi kutokuwepo kwenye daftari la wapiga kura Arumeru kama ni kweli basi itakuwa kituko cha kufungua mwaka huu.
   
Loading...