Kashfa mbaya ya rushwa iliyomkuta m/kiti wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kashfa mbaya ya rushwa iliyomkuta m/kiti wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shottar, Mar 13, 2012.

 1. S

  Shottar New Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya ludewa bwana Matei kongo hivi karibuni amekumbwa na kashfa mbaya ya rushwa baada ya kupokea kiasi fulani cha pesa kutoka kwa mkandarasi ambaye kwa mda mrefu alikuwa akifuatilia tenda hizo bila mafanikio. Hivyo TAKUKURU wakafanikiwa kutengeneza mtego wa kumkamata kwa habar zilizopatkana kutoka TAKUKURU zinasema kiongozi huyo mpaka sasa yupo chini ya ulinzi.
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mchwa wanaohujumu maendeleo ya watu watapukutika mmoja baada ya mwingine.

   
 3. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Duuu!! kidogo kidogo tutamaliza mafisadi ngoja nimpigie mtu toka Ludewa kucomfirm
   
 4. B

  Burebure Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hao watapeli lazima wapukutishwe mmoja baada ya mwingine!
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,806
  Likes Received: 36,844
  Trophy Points: 280
  nchi inayoongozwa na mission town lazima iwe na viongozi wanaoishi kiujanjaujanja.
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Lazima atakuwa anatokea katika lichama la magamba.com maana wao rushwa ni sehem ya maisha ya kila siku
   
 7. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa CCM hii si rushwa. Ni ajari tu ya Kisiasa!
   
 8. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa ni mla rushwa kinoma. Ni diwani wa CCM toka kata ya luilo. Kabla ya kuwa diwani alikuwa mweka hazina wa kanisa la Anglican na huko pia akafumaniwa na kashfa ya ubadhirifunwa mahela. In short huyo jamaa ni poyoyo ila anapenda hela kwa saaana. Wananchi wa ludewa tumefurahia kazi hii nzuri ya PCCB.
   
 9. m

  mokomoko Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  majungu bana hutayajua tu. jamaa huyu ni mchapa kazi kweli kweli hata deo filikunjombe anamjua, lakini mimi kama mimi ninacho kijua ni makundi ya kisiasa ndiyo yaliyo peleke jamaa kuonekana ni mla rushwa. lakini lipo jambo unapaswa kulijua mtanzania kwamba kisheria kama umeingiziwa pesa na mtu kwenye ac/no yako unaweza kuikana. kwa mfano ukasema aliyeingiza umjui au ni visa watu wamepanga au hata kama watu walijifanya wamerocord sauti yako ukajifanya wanaIT wameweka effects kwa maana hiyo sisi wana LUDEWA TUSIDANGANYWE NA HUYU MWANAMAMA ALIYESUKA MPANGO
   
 10. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Upo sahihi kabisa
   
 11. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Ni wa chama gani?
   
 12. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapa kuna maswala kadhaa:-
  1. Kwanza ni kweli kwamba huyu jamaa ni mvutaji; Kwamba huyu Mkiti (diwani wa CCM) ni mla rushwa hilo jambo lipo bayana na halina utata. Hata yeye mwenyewe mh. Kongo anajua. Ni siri ya wazi. Ngoja aende huko mahakamani halafu muone ushahidi utakavyotiririka dhidi yake. Vidole kibao vinamlenga yeye. Wafanyabiashara wa Ludewa tutakuwa mashahidi dhidi ya huyu jamaa na wana CCM wenzake.

  2. Na pili ni kweli kwamba huyu jamaa ameshindwa kucheza karata zake vizuri kisiasa. Kwasababu yeye anajua fika kuwa kile kiti ilikuwa si stahiki yake. Kile kiti kwa mbunge wa jimbo alimtaka bw. Joakim Lukuwi diwani wa Iwela na madiwani walimtaka bw. Edward Haule diwani wa Ibumi. Kwahiyo yeye alipata uenyekiti wa h/w kwa kura za chuki, yaani bora tukose wote, pamoja na kwamba madiwani walijua kwamba Bw. Kongo wanayemchagua ni mla rushwa na hafai. Zilikuwa ni kura za chuki.

  3. Pamoja na kwamba Filikunjombe ndiye aliyemsaidia Kongo kuupata udiwani wa luilo, pia ni kweli kwamba Mhe. Pindi Chana ndiye aliyetoa pesa na kumpa bw. Kongo ili apate huo uenyekiti wa h/w. Mpaka hapa Kongo akahama toka kwa Filikunjombe akawa na Pindi Chana. Wamekuwa wakienda hivyo Kongo na Pindi Chana. Wengine wanadai kwamba hawa jamaa (kongo + pindi) walifikia hatua ya kupeana ngon*

  4. Lakini hivi karibuni Kongo akamtosa mhe. Pindi Chana na akawa jirani zaidi na Filikunjombe, kitendo kilichomfanya Pindi Chana kuapa kuwa atamwonyesha yeye ni nani, kwani Pindi alikuwa anayajua madhaifu yote ya huyu jamaa, kwamba ni mla rushwa na kwamba ni mpenda totoz. From this you can easily see kuwa ni Pindi Chana kaamua kumwonyesha adabu huyu jamaa kwa kuwa kigeu geu.
   
 13. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Anatoka chama cha wale jamaa wa vijisenti.
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wakishikwa kelele, wasiposhikwa kelele.

  Magwanda huwa mnafurahisha barza kweli kweli. Basi hata kama siasa, ndio hivyo?
   
 15. k

  kibananhukhu JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu Wa mkoa Wa njombe Cpt Msangi umeziona halmashauri Zako wanakukaribisha kwa rushwa
   
 16. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nina hamu na huyo Pindi Chana, atashangaa, kazi kutembea na mamaake mbaya kama nini. Yeye kama mbunge alipashwa kuongea na kongo siyo kumfanyizia kama hivi alivyofanya. Pindi Hazara Chana tunakusubiri 2015.
   
 17. L

  Ludewa JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pindi hazara chana, come 2015, we'll proove u wrong, wana ludewa tuko very 'smart' na hela zako tutazilamba.
   
 18. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  huyo ahukumiwe fasta auzwe yeye na familia yake
  achapwe viboko 20 akiingia sero na 20 akitoka ili akamwonyeshe mkewe na ukoo wake mzima
   
 19. L

  Ludewa JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matei Kongo, ataachaje kukamatwa na rushwa, ili hali uenyekiti wenyewe wa Halmashauri aliupata kwa RUSHWA???? Fedha za rushwa zenyewe alipew nyingine na John ( yule mfanyabiashara tajiri ) na nyingine tshs. 400,000/- alipewa na Pindi Chana.

  Na mgao kwenda kwa hao madiwani wla rushwa wenzake walikuwa wanaufanyia pale Mbilinyi Guest House, usiku, na sisi tukiwa tunaona. Ndo maana mie siwezi kushangaa huyo Congo kunaswa kwenye mtego wa Takukuru.

  Nimeona watu wengi hapa jamvini na wengine walioko dar wanamlaumu pindi, mlitaka pindi afanyeje, hata mie ningelikuwa ni pindi chana, ningelifanya hivyo hivyo au hata zaidi.
   
 20. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamani, kwanza poleni sana kwa msiba wa mhe. Diwani kacheche wa mlangali, nasikia jana watu walikuwa wengi sana kwenye ule msiba na kwamba kanisa lilikataa kabisa kumzika eti kwamba kwa kujinyonga amejihukumu mwenyewe. Watu nasikia walifurika saaana.

  Ujumbe, aliouacha marehemu ni kwamba ameamua kujinyonga kwasababu kuna mtu (wa pale pale mlangali akiishi dar) anamdai tshs. Milioni 81 na kwamba huyu mdeni wake amekuwa akimzingua. Kwahiyo pale msibani watu walikuwa wana mlaumu sana hyu jamaa asiyetaka kulipa deni.

  Lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa amejiua kwasababu aliiba pesa za SACCOS ya mlangali na MLADEA akakopesha kwa jamaa zake na nyingine wakafanyia (yeye kacheche, yuda -jangwani, na msemakweli na mwalyosi) kampeni ya kumdondosha deo filikunjombe, kwani zile pesa zimechotwa SACCOS mwezi wa na nane na september, wakati wa kampeni na wakati ule jamaa akina yuda walikuwa kwenye kampeni vijijini wakimwaga noti ile mbaya.

  Kwahiyo kacheche alikwiba. Period. Ni mwizi. Period. Ni Fisadi. Period. Diwani mzima anakwapua mali ya wanyonge maskini wa mlangali. Na hii imekuwa ni tabia ya kawaida kwa viongozi wetu, madiwani wa ludewa., kwani kacheche alikuwa ni katibu wa madiwani wote.......
   
Loading...