Jk:waingereza wanawahurumia wa tz,wewe je?

Makala Jr

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,395
1,110
'Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umasikini,ujinga,magonjwa na dhuluma'
Hiyo ilikuwa ni ahadi ya tatu ya TANu ambayo hata JK,Aliikiri.
Lakini utekelezaji wake haupo licha ya kuwa ccm ilirithi mikoba ya TANU,ndivyo wanavyojisifu.
Sasa inakuwaje Rais hachukui hatua ya kuwashitaki kina A.Chenge kwa kashfa ya radar?
 
Back
Top Bottom