Wazee Wa Jamvi nawapa heshima zenu, jamani mi nashangazwa Sana na hili neno mila, wazee Wa mila na wazee Wa Kimeru, hivi jamani wameru tu watengeru ambao meno yameharibika kwa ajili ya fluoride ya...
Nihakika na kweli kama wewe ni mfanya Biashara Mkubwa hapa Tz,Kama ni mwanachama wa CDM na uko front line,lazima uwe umejipanga.Utafiti wangu mdogo nimegundua kuwa wako CCM si kwa...
Ndugu zangu,
Kuna tabia imeanza kujengeka miongoni mwa wanasiasa hususan wa aina ya Nape kutaka kuwazuia wazee na viongozi wastaafu kutoa maoni yao kuhusui mwenendo wa serikali katika...
Naomba kuweka mambo sawa kidogo.
Kuna watu ambao wanaonyesha kila dalili za kuweweseka, ama kuchanganyikiwa au kupumbaa au kuwehuka au kufamiwa na mapepo na kuwa kama mapunguhani fulani hizi...
Nimekusikia kwenye moja ya mikutano ya kampeni za ubunge kumdadi Sioy Sumary kuwa akishinda ubunge,Atarudisha Maelfu ya Ardhi yanayokaliwa na walowezi.
Swali.
1.Hiyo Ardhi ilitolewa na nani...
Itv kama mnaona hamwezi kutuletea habari ya ukwela na bora hiyo habari muiache.
picha za kampeni ya ccm mlizo tuonyesha leo si halisi kabisa mmetuchanganyia na piçha za zinduzi.
uongo wa...
Nimetoa hii toka kwa mtandao wa Mnyika "M4C: Kwa kipindi cha mwaka mmoja cha utumishi wa umma nimeshuhidia umuhimu wa kuchanganya vyama katika mabaraza ya madiwani katika kuongeza uwajibikaji...
Wakazi wa Temeke kata ya Vijibweni wanapaswa kuwapuuza CHADEMA na kampeni zao. Kampeni hizo wanazodai kuzifanya kwa nguvu ya umma hazina tija kwa kuwa hawana mabalozi wa nyumba kumi kama CCM.
Hawa jamaa nawaoneoa huruma sana,toka wamekuja Arumeru wamekuwa ni watu wa kuzomewa toka asubuhi hadi jioni wanapokuwa wanaelekea kwenye kampeni...
Tukio lililo nishangaza sana ni siku...
VIJANA WA KIMERU WAMEANZA KUKUSANYA KADI ZA WAZEE WAO NA KUZIFICHA KWA MADHUMUNI YA KUWAFANYA WAKOSE NAFASI YA KUICHAGUA CCM... Mwenyekiti wa serikari ya mtaa (sitaji) kwajina..(simtaji)...
Na Stephano Mango, Namtumbo
WAJUMBE wa kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi(CCM) wilayani Namtumbo mkoa wa Ruvuma wamemkataa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo Getruda Lupola na kumfungia mlango kwa...
Utulivu afya ya Dk. Mwakyembe
Mwandishi Wetu - RaiaMwema...
Dk. Harrison Mwakyembe
MADAKTARI bingwa wa Hospitali ya Apollo nchini India, wamefanikiwa kudhibiti ‘kemikali' hatari...
Nadhani wengi mtaniunga mkono kuwa kama kuna viongozi walio fanya mambo mazuri ktk nchi hi Mh Joseph MUNGAI ni mmoja wapo. Alijenga shule zaidi 20 binafsi then akaipa selikari ikiwepo Mdabulo na...
kwa uchunguzi wangu mdogo wa kipindi cha karibuni kumekuwa na hoja nyingi na topics nyingi za kuchafua chadema, lakini nyingi kama si karibu zote azina uzito stahiki na mashiko kwa wananchi na...
Ccm waona aibu baada ya kukosa watu kwenye mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea wa nafasi ya udiwani.mkutano huo ulifanyika kijiji cha ibula kata ya kiwira.wakati huo chadema jana tarehe 23 march...
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa jana alilalamikia kile alichodai kuwa ni kuchezewa mchezo mchafu na makada wa CCM.
Malalamiko ya Dk Slaa yanatokana na kusambazwa barua yenye nembo ya...
Eti wakuu nimesikia ya uchaguzi ya Tanzania (NEC) katika wanachoita kuboresha daftari la wapiga kura la Arumeru Mashariki wanaongeza wapiga kula 55.Ndugu zangu great thinkers ebu tuelimishane ni...
Habari zenu wakuu,
naomba niripoti tetesi hii kutoka kwa jamaa yangu aliyeko arumeru east kunakofanyika kampeni za ubunge wa jimbo hilo kuwa..ccm wameendelea kununua kadi za kupigia kura kwa tsh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.