Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jumapili ijayo tutaenda kwenye vituo husika kupiga kura zetu,.Sote wana Arumeru tumesikiliza kampeni za vyama na wagombea na ninaamini tumeshafanya maamuzi.Kwa wale ambao bado hawajafanya maamuzi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Uchaguzi mdogo wa Arumeru unaotarajiwa kufanyika tarehe 1/4/2012 ambayo ni foolish day CCM inaweza kutumia vyombo vya habari ikiwa ni Redio na magazeti kuwahadaa watu kuwa uchaguzi umeairishwa ili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kampuni moja inayotoa huduma za kupakia na kupakua mizigo katika bandari ya Dar es salaam, inadaiwa kula njama na baadhi ya maofisa wa Wizara ya Uchukuzi ili kukwamisha mradi wa ujenzi wa gati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeshangaa kipindi cha leo asubuhi cha jambo live kuona mwakilishi wa commonwealth kuulizwa maswali na mtangazaji wetu Gabriel zakharia kwa kiswahili halafu yeye anajibu kiingereza. Hivi tbc...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilikuwa safarini hivyo sikuweza kufauatilia, kwa mwenye data sahihi naomba kujua total iliyopatikana jana.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Lowassa aigawa CCM Arusha ADAIWA KUPIGWA 'STOP' ASISHIRIKI,ASEMA NI UZUSHI WA KIPUUZI, CHADEMA WALIA Waandishi Wetu, Arumeru na Dar USHIRIKI wa Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kwenye...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
BICC - Bonn International Center for Conversion - Global Militarization Index - Ranking Table
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ccm leo jioni walikuwa kata ya maji ya chai kijiji cha imbaseni:
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa hali ya kusikitisha na kukatisha tamaa wilayani hapa tangu jana saa saba usiku usiku mpka saa hii (tatu usiku) umeme umekatika na haijulikani ni saa ngapi au ni lini utarudi.kweli inasikitisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa sasa kinachoendelea ni makada na wanachama wakiingia katika ukumbi wakibadilishana mawazo.... Saa mbili kamili shughuli rasmi itaanza. Television ya Star tv inaonyesha live kwa wale ambao...
13 Reactions
465 Replies
37K Views
CCM wamefunika mbaya katika kijiji cha patandi/tengeru.....habari ndio hiyo!
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Posted on March 24, 2012 by zanzibaryetu Baraza la Katiba Zanzibar kwa kushirikiana na Jumuiya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) wakiwa katika jukwaa kuu kwa kutoa elimu ya...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hawa watu wanakuwaga ni tatizo sana. na huwa wanakuwa jeuri mno kwa mamlaka zingine za nchi ila tu wanakuwa watiifu kwa aliyewachagua
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasema hata watoto wao wamegeuka Chadema waanza rasmi kutumia chopa Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki, Siyoi Sumari Siasa za kushutumiana, kupakana matope zimeendelea kutawala...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
hawa ni wahanga wa mradi wa mabasi yaendayo kASI(DART).....................maendeleo ambayo hayazingatii utu????? ina maana hatuna namna bora zaidi kuwahamsha wananchi wezetu bora zaidi ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu Muda sio mrefu mkutano wa utaanza rasmi. kinachoendelea kwa sasa ni utambulisho wa makamanda kutoka maeneo tofauti. Huku akisubiriwa Dr Slaa na. ujumbe wake. Updates John...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Diwani wa ccm .emanuel langaeli wa kata ya nkwarua ,wilaya ya arumeru mashariki ajiuzulu
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Nimesoma sheria za JF sijaona sehemu na adhabu ya mtu anayeleta vitu vya uzushi, uongo, picha fake nk. Ama nimekuwa nikiona thread za uzushi zikihamishwa au kuondolewa bila ya mhusika kupewa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Bila shaka sote tunafahamu hali ya kisiasa inavyoendelea huko Arumeru mashariki ambako vyama mbalimbali vya siasa vinajitahidi kunadi sera kwa Wanaarumeru ili mgombea wao aweze kuchaguliwa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Kwa hali ya kusikitisha na kukatisha tamaa wilayani hapa tangu jana saa saba usiku usiku mpka saa hii (tatu usiku) umeme umekatika na haijulikani ni saa ngapi au ni lini utarudi.kweli inasikitisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom