Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zanguni hamjambo? Nimejaribu kufikiria kwa kina, hivi kwanini hii nchi inaombaomba misaada kila kukicha wakati tuna maliasili kibao? Ujue tunaomba mno misaada hadi tumekua kero kama sio...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Ukiona Mtu anapiga kelele na kuisifia CCM kwa nguvu zake zote na kwa akili zake zote ujue anauhakika na kutumia sio chini 10,000 kwa siku. Na ukiona mtu anasimama kuipinga CCM kwa nguvu zake zote...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Kupiga kura ni kwa ajili ya kuchangua raisi au mbunge ili aweze kutekeleza majukumu yake kama kiongozi ni jambo nyeti sana,hivyo kuna wagombea wengi wenye sifa za kuwa viongozi lakini kwa kuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nchi yoyote isiyo endeleza secta ya viwanda,hakika itakuwa Masikini na Ombaomba wa Kutupwa. Tujulishane Viwanda vilivyo uliwa na Serikali ya CCM tangu uhuru. Nawasilisha...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Mgombea udiwani wa CCM kata ya Kirumba jijini Mwanza bwana Jackson Robert ameomba kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha ugombea katika kikao cha siri kilichofanyika juzi La Kairo Hotel.Hali hii...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Labda nitaje mapema kabisa kuwa mimi naupinga mjadala huu kwa lengo na namna unavyoendeshwa, aina ya watu wanaoushadadia, na baadhi ya hoja zinazotolewa. Lakini sipingi kuondolewa kwa vikwazo vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kazi ipo katika kuleta mabadiliko maana leo katika kuangalia taarifa ya habari star tv nimeshuhudia viongozi wa kisiasa wakisusia kikao kisa mkuu wa wilaya amewatangazia kuwa hakuna posho...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nape akiongea na waandishi wa habari kuhusu itikadi za CCJ Moja, sikufahamu kumbe NAPE alikuwa Msemaji wa CCJ. Hii ni tabia ya kukimbilia madaraka na ajira ya huhakika wala si kwa kuwa anachukia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Dunia kweli ina mambo. Wakati changizo likiendelea ,alijitokeza jamaa mmoja aliye jitambulisha anatokea singida akasema " kwetu singida hakuna mbunge,tunaye kijana wa ccm ambaye ni...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Vijana CCM wachangamkia Ubunge EAC Leon Bahati | 22 March 2012 | Mwananchi WANACHAMA 32 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza kuwania nafasi nane za Ubunge wa Afrika Mashariki kupitia...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Great thinkers,have you ever wondered why Mwl Julius Kambarage Nyerere aliwa outsurvive most of his contemporaries kama kina Kwame...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nashangaa namna siasa za majitaka zilivyoshamiri, magazeti na wanaoitwa waandishi tegemezi nao hawana tofauti, magazeti yamejaa taarifa ambazo hazina msaada wowote kwa watanzania, hatusikii juu ya...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Makamanda wote JF, Umoja ni nguvu katika juhudi yoyote ikusidiwayo katika kuleta mafanikio... Ndugu zangu mafanikio yetu yamo katika msemo huu 'BIDII YETU ITAINGIZA CHADEMA MADARAKANI' ambalo pia...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii ndiyo desturi popote pale duniani kuwa, ifikapo wakati wa uchaguzi mkuu wanasiasa hufanya kampeni kwa mbwembwe nyingi ili wapewe nafasi ya kushika hatamu za uongozi. Wakati wa kampeni kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu mtaani usiku wa jana nilisikia gari la matangazo aina ya toyota hilux, likitangaza mdahalo/ mkutano utakaofanyika leo-25 katika chuo cha ualimu Mwenge.. ANGALIZO:- Mkutano...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati "wao" wakitembeza kapu kuombaomba.,sisi tunatazama fursa tulizonazo na kuzitumia..,Daima tunaonyesha njia.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Chama Cha Mapinduzi kinatarajia kupokea Ujumbe wa...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Nakumbuka wiki moja kabla ya kampeni za Arumeru Mashariki ulikuwa unatupa updates za mara kwa mara, nakumbuka tena ukasema umeshatembelea kata zote 17, kati ya hizo ni kata nne tu za barabarani...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
thread moved.....sorry!
0 Reactions
1 Replies
916 Views
WIKI hii nzima nimeitumia kuwaza lakini sikupata majibu ya kuniridhisha. Wazo langu kuu ni nani ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), alipanga na kuidhinisha wazee wawili yaani Rais mstaafu...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Nnauye amjia juu Lowassa Waandishi Wetu | Mwananchi | March 22, 2012 KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amemtaka Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa...
3 Reactions
113 Replies
10K Views
Back
Top Bottom