uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 14,660
- 26,394
Wazee Wa Jamvi nawapa heshima zenu, jamani mi nashangazwa Sana na hili neno mila, wazee Wa mila na wazee Wa Kimeru, hivi jamani wameru tu watengeru ambao meno yameharibika kwa ajili ya fluoride ya mount Meru Ndo wanamila tu? Kila kitu Magamba wakiongea wanasema "kwa mila ya Kimeru ni laana na CDM waache Mara moja.
My take:
Pelekeni njaa zenu huko na mila zenu mnazozitumia na Magamba kutishia watu maisha.
My take:
Pelekeni njaa zenu huko na mila zenu mnazozitumia na Magamba kutishia watu maisha.