magamba wamevamia jukwaa la siasa kwa hoja dhaifu na za kitoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

magamba wamevamia jukwaa la siasa kwa hoja dhaifu na za kitoto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wakwetu 2, Mar 24, 2012.

 1. w

  wakwetu 2 Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwa uchunguzi wangu mdogo wa kipindi cha karibuni kumekuwa na hoja nyingi na topics nyingi za kuchafua chadema, lakini nyingi kama si karibu zote azina uzito stahiki na mashiko kwa wananchi na wadau kwa ujumla. Mfano wa oja hizo ni cdm kuingiza silaha 2015, slaa katumia 300m pamoja na mbowe kujenga, kukarabati nk,Uongozi cdm taifa ujiuzulu wakishidwa arumeru,na nyingi sana ambazo nikiandika nitakuwa napoteza wino pamoja na kumiza vidole. Angalizo langu ni kwamba hata kama mnalipwa kwa kuchafua cdm jalibuni kufikili vizuri na kuweka utaifa mbele na matumbo yenu nyuma na kuandika hoja zenye mashiko ambazo zitaleta changamoto kwa maendeleo ya taifa letu komavu lililo kubikwa na umaskini na maisha duni.:hand:
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hebu zungumzia na upande wa pili, unaweza kuziorodhesha threads zinazoizungumzia serikali na chama tawala? Harafu wa kwetu pamoja na kwamba wewe unaweza kuwa nshomile ambao siku zote hawana "h" jitahidi utuandikie kiswahili safi.
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jibuni hoja sio kuja kujitetea humu jamvini !
   
 4. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kwani hiki sio kati ya vile vyama walivyosema vya msimu?. mbona kinawapa sana shida, au msimu wake haujafika?. na tutakutana tena msimu mwingine 2015, ndo mwisho wenu magamba, kwisha habari yenu
   
 5. H

  HAKI bin AMANI Senior Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Harafu = Halafu?
   
 6. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  U.p.u.m.bavu unaita hoja?
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Jee, chadema inalipia walinzi wa kanisa analosali Josephine au la? Slaa anasema ndio, wewe unasemaje?
   
Loading...