WANACHAMA Saba wa Chama Cha Mapinduzi( CCM) wamejitokeza kuchukua fomu za Ubunge wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kupitia chama hicho, wakiwemo wabunge watatu wanaomaliza muda wao.
Katibu...
Ndugu wana Jf. Ni wakati mwingine wa vijana na wazee wetu pia kukumbushana mambo muhimu yenye manufaa ktk maeneo tuishiyo na taifa kwa ujumla. Sote, tunajua wazi hali halisi kiuchumi na...
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani hapa limewasimamisha kazi maofisa waandamizi 13 wa halmashauri hiyo baada ya kuipitia taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
TORONTO - Union officials say a wildcat strike by Air Canada ground workers that started in Toronto and spread to other airports is over.
Union spokesman Bill Trbovich says three workers were...
Kwa mwenendo uliopo ndani ya vyama vikubwa vya upinzani yaani CHADEMA; CUF na NCCR-MAGEUZI sioni chama kinachoweza kutimiza utabiri wa Nyerere kuwa wapinzani wanaweza kuchukua nchi mwaka 2015...
cHADEMA ni Chama cheye wapenzi wengi sana hapa Meru,bahati mbaya wengi wao ndo mamefikisha miaka 19-20,na hivyo hawana kadi za kupiga kura kwani kwa miaka hiyo walikua hawana sifa za kupiga...
mlima kilimanjaro, wanyama, madini, misitu n.k ni baadhi ya mali asili katika nchi yetu ambazo kama zingewekewa misingi mizuri na sisi leo tungekuwa miongoni mwa nchi tajiri. Badala yake wananchi...
Mwenye macho haambiwi tazama,serikali inatumia nguvu ya hali na mali pale A.MASHARIKI,sasa kama lile shazi la wabunge wa CCM na mawaziri wangekuwa wanagombea ingekuwaje.Je,mwaka 2015 kama itakuwa...
Baada ya uhuru tumeshuhudia mtaala wa elimu ukipandisha alama za ufaulu kuingia sekondari kwa wakazi wa mkoa wa Kagera kwa kile serikali ilichokiita eti ni sera ya kuleta usawa kielimu Tanzania...
Dr.Kitila Mkumbo akiongea kwenye kipindi cha This week in perspective amedai kuwa kama angekuwa na mamlaka basi angewaondoa au kutowaruhusu makampeni meneja waongee au kumnadi mgombea katika...
Dk Slaa na ardhi
Katikamikutano ya jana, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa alimshambuliaNaibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Gudluck Ole Medeye kwambaanahusika na...
Sipendi staili ya kampeni wakati wa chaguzi kuu na ndogo hapa nchini. Kampeni maana yake ni KUSHAWISHI wapiga kura ili waone uzuri wa mgombea (na pengine chama chake) hatimaye kufanya UAMUZI wa...
Mama maria alishafunga mjadala huu mwalimu alikuwa na mke mmoja tu wake za julius Nyerere wengine mnatokea wapi kubishana na kauli ya mama wa Taifa?
Maria Nyerere asidhani anaweza kuwafanya wote...
Mshamu aliyekuwa mgombea udiwani kwa tiketi ya cuf ni mtu mahiri mchapakazi mtetezi wa wanyonge hapa ulanga.kwa kuwa cuf imekufa njoo cdm kwanza hustaili kugombea udiwani gombea ubunge mama selina...
Wadau,
Naamini wengi wetu tumekuwa tukiipa uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki kipa umbele. Ndiyo, uchaguzi huo ni wa muhimu ili kuwapa fursa wananchi wa eneo hilo kumchagua kiongozi wamtakaye.
Mimi...
Hizo ni baadhi ya picha zilizopigwa kwenye eneo la ubomoaji wa nyumba za wafanyakazi wa Bandari kupisha mwekezaji kwenye kituo cha mabasi yaendayo kwa kasi.
Wana JF,
Nimefuatilia kampeni za ubunge huko jimboni Arumeru mashariki kupitia vyombo vya habari.Kuna madai kuwa uelewa na uwezo wa mgombea wa CCM Bw. Siyoi Sumari juu ya mambo mbalimbali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.