Golfer2008
Member
- Mar 22, 2012
- 28
- 4
Nadhani wengi mtaniunga mkono kuwa kama kuna viongozi walio fanya mambo mazuri ktk nchi hi Mh Joseph MUNGAI ni mmoja wapo. Alijenga shule zaidi 20 binafsi then akaipa selikari ikiwepo Mdabulo na Igowole, alipokuwa waziri wa mambo ya ndani aliweza kujenga kota za askari magereza Iringa ambazo ilibidi zijengwe Dar.
Kwa tarifa nilizopata kutoka kwa mzee wa karibu na Mungai; kutokan na uchapakazi wake na ukaribu alionao kwa Mh Rais ajae (LOWASA) atamteua kwa kutumia zile nafasi kumi na kumrudisha ktk wizara ya mambo ya ndani kama waziri. Kwani nchi hii hakuna asiye jua kuwa hakuna waziri aliyechemuka kama VYAI NAHOZA. Mungai alipigwa pushi na siasa za vijana siunajua wazee wengi walichemka japo ameahidi kurudi ten kuwaomba wana mafinga