ITV mmevuka mpaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV mmevuka mpaka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Mar 23, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Itv kama mnaona hamwezi kutuletea habari ya ukwela na bora hiyo habari muiache.

  picha za kampeni ya ccm mlizo tuonyesha leo si halisi kabisa mmetuchanganyia na piçha za zinduzi.

  uongo wa kwanza:leo arusha ilikuwa na baridi,mawingu kiasi na umande kwa mbali,lakini nyie mmetuonesha kukavu na vumbi.picha iliyokuwa tofauti kabisa na ya chadema iliyo onyesha kijani kibichi.

  uongo wapili: mmetonyesha sioi akihutubia umati mkubwa wa watu kwenye uwanja wa mpira na bila aibu mkatuchanganyia na picha halisi iliyo onyesha hali halisi ya arusha ilivyo leo,ukweli ni kuwa leo sioi alikua na watu wachache sana mithili ya mtu anayehutubia mkutano wa ukoo,mtu alie angalia TBC habari atakubaliana na mimi.

  au kuna arumeru nyingine mliyo endaaa
  nawapa ushauri wa bure.
  MKIWA WAONGO MUWE NA KUMBUKUMBU.
   
 2. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii hata haisumbui wana wa Arumeru hawatafanya uchaguzi kwa kutumia propaganda za TV!
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,052
  Likes Received: 3,083
  Trophy Points: 280
  Vinajiita vyombo huru vya habari na bado wanaclaim waendelee kuaminika wako huru japo practically ni matatzo matupu

  Umetusaidia sana kamanda make sie huku wengne tulishaingia choo cha babu Seya
   
 4. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  arusha leo ilikua na mvua lakini wao wanatuonyesha vumbi kama tuko sudani
   
 5. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hawafahi kabis nasubiri tv yetu
   
 6. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha waendelee kushusha reputation yao! watagundua baadae, when it is too late!!!
   
 7. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaruhusiwa katika tasnia ya habari kutoa picha zilizohifadhiwa na wala hakuna tatizo.
  nafikili ni uelewa wako mdogo ndo umekufanya ukurupuke kuja kuandika post hii!
   
 8. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  HAPO JEE


  [​IMG]
   
 9. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ngoja tuanzishe Mwananchi television tuone kama watapumulia wapi kwenye ushindani..waendelee kumsubiria Tido atawaonyesha..
   
 10. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  NA HAPA

  [​IMG]
   
 11. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Novatus Makunga ni CCM damu damu na uzalendo umemshinda akaamua kuchanganya picha. Huyu bwana anatafuta fadhila kwa CCM na naomba niwatonye kuwa Novatus Makunga ni ****** yaani kabila la JK na ni wa huko huko Chalinze. yuko very biassed na haipendi kabisa CDM. Tunampongeza binti mwanamapinduzi Ufoo Saro kwa kutupa coverage za kweli; Ufoo keep it up achana na Magamba
   
 12. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,052
  Likes Received: 3,083
  Trophy Points: 280
  Vinajiita vyombo huru vya habari na bado wanaclaim waendelee kuaminika wako huru japo practically ni matatzo matupu

  Umetusaidia sana kamanda make sie huku wengne tulishaingia choo cha babu Seya
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Wala msihangaike na media za kijinga hizo wakuu. Iko siku when they will no longer be able to lie to us and decide to JOIN us!!!!!
   
 14. P

  Pweza Dume Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Wewe ndo umekurupuka. kama wanaonesha picha ya zamani tofauti na habari inatakiwa waandike kutoka maktaba
   
 15. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  ITV be carefull msitutie kinyaa kama TBC ya magamba.
   
 16. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  ITV wanajitahidi kutupa coverage ambayo haiko biased kihivyo.. Mie toka kampeni zimeanza ninaangalia kampeni kupitia ITV na wanajitahidi kutoa coverage nzuri kwa CDM.. Maneno yenye utata toka kwa mawaziri (kama jana toka kwa Waziri Nagu) tunaona ITV.. So please wana JF tukumbuke huwezi kupata kila unachotaka ww..
   
 17. m

  moshial Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Movement for Change
   
 18. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tatizo sio ninachokitaka bali watuonyeshe ukweli itikadi zao sisi zinatuhusu nini?
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  UFO SARO kaacha kazi nini?
   
 20. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  wana hasira hawajapewa dili ya kurusha harabee ya chama dume.
   
Loading...