Temeke na Vijibweni wapuuzeni CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Temeke na Vijibweni wapuuzeni CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Habarindiyohiyo, Mar 24, 2012.

 1. H

  Habarindiyohiyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakazi wa Temeke kata ya Vijibweni wanapaswa kuwapuuza CHADEMA na kampeni zao. Kampeni hizo wanazodai kuzifanya kwa nguvu ya umma hazina tija kwa kuwa hawana mabalozi wa nyumba kumi kama CCM.
   
 2. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe endelea na propaganda, CHADEMA inaendelea na kazi ya kukutana na wananchi. Haya ingia https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/237650-m4c-leo-wako-hapa.html uwaambie hao mabalozi wako wa CCM wajiandae
   
 3. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  msalimie gamba mwenzio nape
   
 4. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nafikiri wewe ndio wakupuuzwa tena mpaka familia yako inatakiwa ikupuuze!mtu mzima hauwezi kuja na hoja nyepesi hivyo!
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  A stupid empty head
   
 6. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukitaka kujua kuwa CDM iko serious, ngoja uone matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2014. Moto wa mabadiliko hauzimwi kwa petroli.
   
 7. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Wito dhaifu kama mtoa wito mwenyewe.
   
 8. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mabalozi ya Nyumba 10! CDM inao Mabalozi kila FAMILIA achilia hao wa nyumba 10. Poor argument!
   
 9. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,075
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Wewe acha propaganda zako za kipuuzi,mi niko vijibweni miaka mingi hao mabalozi wako wa ccm wala hawana chochote wanachofanya sana sana wanasubiri uchaguzi waanze kugawa rushwa.CDM hawapuuziki ni mbele kwa mbele.

  PEOPLES POWER!!!!!!!!
   
 10. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kufilisika kichwani ni kitu mbaya sana.
   
 11. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kuna y=uhusiano wa mabalozi na diwani ? eti? ndugu zetu mnakula kwa tabu sana, nawasikitikia sana, haya nepi alisema atawaongezea dau maana gharama ya maisha imepanda
   
 12. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  anapiama upepo
   
 13. v

  vngenge JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mbona hueleweki, kwa vile hawana mabalozi basi wasifanye kampeni au kampeni inakuwa sio nguvu ya uma?, kwani mabalozi ndio umma?.
   
 14. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wewe nani unayewaagiza? kwani wao umewaona wajinga wasiojua jema na baya?
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ..tehe ccm bwana ndo maana wametufanya tuwe maskini mpaka leo, yaani mtu mzima kabsaa uliyejaliwa pumzi na MOLA unakuwa na mawazo mgando namna hii
   
 16. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huu ni uchaguzi wa diwani atakayewaongoza wananchi wote wa vyama vya chadema, ccm, cuf, tlp, nld na hata wale wasiokuwa na vyama.
  Mabalozi wa vyama wanavihusu vyama vyenyewe na ndio maana wanachaguliwa na vyama vyao huko huko, wananchi hawana shida nao.

  Na kwa taarifa yako vijibweni ccm na cuf hamtoki safari hii, nafahamu hadi umekuja kulalamika hapa umekwisha uona moto wa chadema, mgombea wake anakubalika sana na watu wa rika zote. Nimesikitika tu kwa namna ccm mlivyomuingiza chaka suleiman mathew kugombea udiwani huku akiwa na madudu mengi tu aliyoyafanya katika shule yake ya kuendeleza vipaji vya michezo.

  Baada ya huu uchaguzi msimtupe mkono kwani najua hatoweza kushinda, mumsaidie fedha ya kuendeleza shule ili wanetu na wadogo zetu waendelee kuibuliwa na kukuzwa vipaji vyao.
   
 17. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...mkuu hilo jina la Suileman Methew mbona siogeni kwangu ktk tasnia ya soka,huyo jamaa ndo yule nilikuwa namsikia akicheza soka au majina yamefanana...kama atakuwa Suleiman Methew alikuwa akicheza mpira wa miguu nampa pole sana,huko amepotea njia au watoto wa mjini siku hizi wanausemi unasema hivi..."Suleiman Methew ameingizwa choo cha kike"...
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu ndio mwenyewe Suleiman Mathew mwanasoka wa zamani, ana shule yake pale kibada ya kuendeleza vipaji vya michezo hususan soka lakini imeshaporomoka baada ya kujiingiza kwenye siasa za ccm.
   
 19. l

  lyimoc Senior Member

  #19
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo ndio mwisho wake wa kufikiria magamba hawana tena jipya wapumzike kwa amani
   
Loading...