Ccm wapoteana kiwira kwenye uchaguzi wa diwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm wapoteana kiwira kwenye uchaguzi wa diwani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by pascal haonga, Mar 24, 2012.

 1. p

  pascal haonga Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm waona aibu baada ya kukosa watu kwenye mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea wa nafasi ya udiwani.mkutano huo ulifanyika kijiji cha ibula kata ya kiwira.wakati huo chadema jana tarehe 23 march walijaza watu kwenye mkutano wao wa hadhara wa kumnadi mgombea wake laurent abeli mwakalibule uliofanyika kitongoji cha ilundo kata ya kiwira.baada ya kumaliza mkutano huo walielekea ofisini kwao na kusababisha wananchi wa kata ya kiwira kufunga barabara kwa muda wakiishangilia chadema.
   
 2. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  AS good as Chadema
   
 3. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  chama bora hicho
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Viva, wananchi wa maeneo hayo hawana njaa kama sehemu zingine za nchi yetu!!
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Chama hiki kinakua kwa kasi ya ajabu, sijui CCM ifanye nini?
   
 6. y

  yplus Senior Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naijua Vizuri Kiwira,Pale pana Wanyaki.Hawa jamaa wana sifa zifuatazo
  Majasiri
  Hawana njaa
  Ni wapole lakini sio Wanyonge
  Wanapenda Mabasiliko wanachosubiri ni wakati
  CCM hamna chenu hapo...
   
Loading...