Wana TOT na Semi la CCM Arumeru,Wakirudi Dar wapatiwe huduma ya Psychotherapy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana TOT na Semi la CCM Arumeru,Wakirudi Dar wapatiwe huduma ya Psychotherapy

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by yplus, Mar 24, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa nawaoneoa huruma sana,toka wamekuja Arumeru wamekuwa ni watu wa kuzomewa toka asubuhi hadi jioni wanapokuwa wanaelekea kwenye kampeni...
  Tukio lililo nishangaza sana ni siku ya jana walipokuwa wanafanya kampeni pale Tengeru.Wakiwa uwanjani,kundi kubwa la watu lilikuwa upande wa pili likiwasubiri wamalize mkutano,magari yalipoanza tu kuondoka,walianza kuzomewa gari moja hadi lingine na kuonyeshewa alama ya V inayotumiwa na CDM.
  Hofu yangu mimi wata athirika sana kisaikolojia.Kuzomewa mwezi mzima asubuhi mpaka jioni ina athari kubwa sana,huduma ya Psychotherapy itahitajika mara moja watakapo rejea DSM.
  Nawasilisha...
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ukitaka kula lazima uliwe (Mkuu wa Kaya), waendelee tu.
   
 3. paty

  paty JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  wana sisemu ni sugu washaoea kuzomewa, yaani wenyewe wanaona poa kabisa
   
 4. P

  Praff Senior Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Psychotherapy deals with treating people with psychological problems by using medicine ToT and Ccm deserve such a treatment.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Msigano mkubwa Arumeru ni kati ya CCM na CDM na siku zote panapokuwa na pande mbili zinazopingana lazima kutakuwa na kutokuelewana...hivyo kama TOT wanazomewa ni lazima nao wanawazomea CDM kwa hiyo nao wanastahili psychotherapy.
   
 6. y

  yplus Senior Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kani kati ya hawa atakaye athirika zomewa?
  Watu 10 wanao zomewa na watu 1000 kutwa nzima
  au
  Watu 10 wanaozomea watu zaidi ya 1000 kutwa nzima?
  Kengemumaji penye ukweli,uongo hujitenga,njoo Arumeru uone wanavyo zomewa CCM na Vx zao na V8 zao na Semi lao...

  Unajua ni aje,Jamaa wanapita naa magari Full Tinted na speed sio chini ya 80,ukichungilia gari jamaa hawazidi 3. Wanaogopa ogopa kweli?,unajua Vijana wa Meru ni Mtata,eneo kama singisi vijana wa pale ni mtata kama Wasomali vile so CCM wanaishi maisha ya wasiwasi sana...
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wana-Arumeru waombeni TOT wawaimbieni zile 'Pambio za CCM' kumsindikiza salama Mwalimu Nyerere na kumkaribisha sebuleni mgeni rasmi UFISADI ndani mwao.

  Kisha wakimaliza nyimbo za kifo cha Baba wa Taifa basi mkawaulize kwamba wanafahamu nini juu ya kifo hicho hata wakachagua kujichimbia Zanzibar kuzifanyia mazoezi hizo nyimbo Mwalimu Nyerere angali bado yuko kijijini Butiama mwezi mmoja kabla ya kusafiri kwenda matibabuni Uingereza?
   
 8. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Maneno haya yatakwisha tu baada ya 1st April 2012.
   
Loading...