M4C: Leo wako hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C: Leo wako hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Serayamajimbo, Mar 24, 2012.

 1. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimetoa hii toka kwa mtandao wa Mnyika "M4C: Kwa kipindi cha mwaka mmoja cha utumishi wa umma nimeshuhidia umuhimu wa kuchanganya vyama katika mabaraza ya madiwani katika kuongeza uwajibikaji kwenye usimamizi wa fedha za umma katika serikali za mtaa ambazo ndio zinashughulikia kwa kiwango kikubwa masuala ya maendeleo katika maeneo yetu.

  Leo jumamosi 24/03 nitahutubia kwenye kampeni za uchaguzi wa udiwani kata ya vijibweni Manispaa ya Temeke Jimbo la Kigamboni.

  Tuunge mkono kwa kuwasiliana Kilewo 0714225960 au 0756091748 kwa ajili ya maelezo na maelekezo. Tushiriki kufanya mabadiliko tunayoyataka."
   
 2. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Viva cdm
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  VIVA! A luta continua!!
   
 4. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  viva chadema...!
   
 5. S

  Sept-11 Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  M4C 2ko pa1 kuikomboa nchi ye2 zidi ya mkoloni mweusi
   
 6. h

  hans79 JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  kipatikanacho kijenge chama kuangizia ngazi za chini yaan shina,pia pawepo na udhibiti wa hizo hela ili kuondokana na matumizi mabovu.
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Cdm kwa kweli mpo kwa ajili yakuwanyonya watanzania , na si kuwasaidia. Jana mmewakausha pesa zao kwenye fund raising ya Naura Hotel. Leo wengine hata pesa yakunywa chai na familia zao hawana. Mnakuja tena kuwachangisha kwenye huu uchaguzi wa vijibweni. Na hizo pesa nyie mnalipana perdiem, guest na vinywaji, kweli nyie ndio mtaikomboa nchi hii kweli. Cdm acheni ubadhirifu wa fedha, mmeisha fanya hivyo kwa pesa za Sabodo na Ruzuku
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ww toa hizo pesa watu wakalipie guest na kufanya starehe
   
 9. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  bora cdm wanawaomba wananchi,je ccm inavyo waibia wananchi kimabavu?
   
 10. Y

  Ye Nyumbai Senior Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  rezo brain at work!!!!
   
 11. Non stop

  Non stop Senior Member

  #11
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mabadiliko yataletwa na sisi wenyewe jamani, tuache woga na tuseme NO kwa MAGAMBA.
   
 12. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tutachangia mpka mkoma kulinga mlizoea vya kunyonga kuchinja hamwezi magamba. Kinichonifanya nichangie ni imani kubwa waliyonijengea viongozi wa chadema. Hamtaweza kuzuia hii movement maana inagusa mioyo ya ndani ya watanzania.
   
 13. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuko pamoko.
   
 14. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Bahati yako kwaresma haijaisha.
   
 15. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Si afadhali Chadema wanaomba watu watoe kwa hiari kuliko CCM wanaolazimisha wafanya biashara kuwachangia kwa vitisho!!!
   
 16. l

  lyimoc Senior Member

  #16
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja sana kaka ushindi unakaribia waache wanoe midomo tumeshawazoea sisi kazi tu viva cdm
   
Loading...