Nimekusikia kwenye moja ya mikutano ya kampeni za ubunge kumdadi Sioy Sumary kuwa akishinda ubunge,Atarudisha Maelfu ya Ardhi yanayokaliwa na walowezi.
Swali.
1.Hiyo Ardhi ilitolewa na nani kwenda kwa hao walowezi?
2.Ofisi wa waziri mkuu Mwaka 2009 ilitoa Barua ya kutaka Ardhi irubishwe,kwa nini hilo suala lina kigugumizi hadi leo?
3.Kwa nini hao walowezi wanalipa tshs 6000 kwa heka kila mwaka na wakati wana Arumeru hawana kabisa maeneo ya kulima?
4.Unaposema Chagueni CCM kwani ndio iliyoshika nchi,Nchi inaongizwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano au Serikali ya Jamhuri ya CCM?
Waiting for answer from Mwigulu au Fans wake yeyote anieleweshe...
Nawasilisha...