Tume ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya uchaguzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kuchayaa, Mar 24, 2012.

 1. K

  Kuchayaa Senior Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Eti wakuu nimesikia ya uchaguzi ya Tanzania (NEC) katika wanachoita kuboresha daftari la wapiga kura la Arumeru Mashariki wanaongeza wapiga kula 55.Ndugu zangu great thinkers ebu tuelimishane ni kitu gani hasa kimetokea kupelekea NEC kuongeza idadi hiyo ya wapiga kura?Na je mabadiliko hayo ni ya kisheria?
  Thanks guys!
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu japo massage sent lakini rekebisha rekebisha taarifa zako mkuu.
   
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,789
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  mimi sijasikia wewe umesikia wapi?? toa taarifa ya kutosheleza kama huna kaa kimya!!
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Tuambie source mkuu hizi taarifa za nimesikia hazina nafasi hapa.
   
 5. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii habari hata mimi nimemsikia Mwenyekiti wa Nec, Lubuva juzi akifafanua sanjari na kutokuvitambua vituo 50 "walivyoviongeza". Ilikuwa ni taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV. Swali langu likawa, kama hawjaboresha daftari la wapiga kura, hao watu 54 waliowaongeza wamewatoa wapi!
   
Loading...