Wafanya Biashara wakubwa wengi wako CCM si kwakupenda,wahurumieni ni wana CDM mioyoni

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Nihakika na kweli kama wewe ni mfanya Biashara Mkubwa hapa Tz,Kama ni mwanachama wa CDM na uko front line,lazima uwe umejipanga.Utafiti wangu mdogo nimegundua kuwa wako CCM si kwa kupenda,wanaogopa kufilisiwa na idara Mbalimbali za serilaki ya Magamba ikiwamo TRA...
Ukiwa CDM lazima uwe umejipanga,uwe msafi na uwe unaijua sheria na katiba ya nchi yako_Other wise hawakawii hata kukuambia umejenga katika eneo la wazi au eneo la makaburi vunja...
Magamba ni wanyanyasaji sana.Nawasilisha...
 
Thibitisha kauli yako wewe
 
wengi wanafaidika na mfumo pia maana akishachangia ccm wakati wa uchaguzi basi anafanya biashara bila kulipa kodi halali kwa muda wote uliobaki.
 
Thibitisha kauli yako wewe

Kwa uchache tu, Bakhersa alipoifadhiri CUF mwaka umenitoka kidogo na kisha baadae ngano yake toka China inateketezwa. Kwa ujinga wa kutokujua sheria Bakhresa akaipeleka mahakani na ni moja ya kesi ambayo serikali ilishindwa ikitoa ile ya marehemu Kombe na kulipa fidia.
 
Back
Top Bottom