Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni uamuzi mzuri kukata rufaa, LAKINI KWA MAJAJI WAPI. Kama ni Watukufu waheshimiwa Nsekela, Munuo, Kimaro, Rutakangwa na wengine ambao sijawataja hawa hukumu zao ni za haki kabisa. Just go and...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa jina naitwa classroom teacher,mkazi wa jiji mwanza nina elimu ya juu kutoka chuo kilichojengwa na baba yangu (udom). my dears...ninaufahamu kidogo sana na masuala ya sheria,lakini...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
The government has been advised to review the process of electing East Africa Legislative Assembly members by adding two more seats for the opposition parties to the current one. The former...
0 Reactions
2 Replies
935 Views
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa maoni yangu kuhusu tume ya mabadiliko ya katiba iliyoteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kama ifuatavyo. Kwanza ni kuhusu suala la uwiano wa wakilishi kutoka katika...
0 Reactions
5 Replies
977 Views
Nimefuatilia matukio mawili hivi karibuni ktk mji wa Iringa. Mimi naamini ni ukata na sikukataa burudani kama nilivyo ikuta kwenye Blog moja ya Francis Godwin ikiwa hivi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Zile semina elekezi za mzee Mkubwa zilizokuwa zinafanyikia Ngurudoto zimeyeyukia wapi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni juma moja limepita sasa toka wananchi wa Arumeru Mashariki wakatae siasa za uchifu, siasa za mnada na kuonyesha chuki na hasira zao kwa kupandikiziwa chaguo la mtu kwa manufaa yake binafsi...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Pamoja na changamoto zinazoikabili tasnia ya habari nchini bado watanzania wanapaswa kuheshimu na kuthamini huduma ambayo wote tunajua mazingira yalivyo si tu Tanzania lakini bara zima la Afrika...
9 Reactions
395 Replies
25K Views
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Bunda mkoani Mara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amewaomba wapiga kura jimboni humo kutompigia kura mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia...
0 Reactions
94 Replies
11K Views
Kampuni mbalimbali zinazofanya biashara tofautitofaut kwel zinalipa kodi kulingana na kile wanachopata? Nahamasika kulizungumzia hili suala kwa kuwa tuna utitir wa makampun hapa Tanzania lakin...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naipenda Tanzania, najivunia kuwa Mtanzania. Serikali yetu inamamlaka kisheria juu ya usimamiaji wa haki na usawa, mgawanyo wa raslimali zote za nchi kwa raia wake bila upendeleo. Kwa niaba ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti la mwananchi siku hiz halipatikan kwenye mtandao kama zaman,siku hiz linakawia sana kuwekwa kwenye mtandao. Mfano mpaka muda huu saa 2 asubuhi lipo la jana tena habar moja tu the rest ni la...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana kwenye sherehe ya jirani yangu nilikuwa na Mjumbe wa shina wa CCM. Mwaka 2010, baada ya Dk Batilda kushindwa na Lema ktk ubunge, alisikitika sana na kudai kuwa kama Batilda angeshinda, basi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Chama cha mapinduzi ni chama tawala hapa nchini kwetu na kimekuwa madarakani enzi na enzi tangu kuzaliwa kwake. Baada ya Tanzania kuingia ktk mfumo wa vyama vingi kimekuwa kikipata upinzani mkali...
2 Reactions
59 Replies
4K Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA WAGOMBEA WA UCHAGUZI WA WAJUMBE WATAKAOIWAKILISHA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) KUPITIA CHADEMA Chama Cha...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Heshma kwenu Wakuu, Naombeni kwa mdau yeyote mwenye Audio Link (full coverage) ya hotuba za Mh. Lema na Mh. Mbowe zilizotolewa viwanja vya NMC 7/4/12 juu ya hukumu ya kesi ya Lema na hatma ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimesoma kwenye Tanzania daima kuwa Kamanda Lema ataanzia mzunguko wake Dar, tukiwa wapenda mageuzi na watamanio haki kutawala ktk nchii, tunaomba tarehe iwekwe wazi mapema ilikuanza uhamasishaji...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
  • Closed
Nimepitia blogu ya Michuzi na kuona Mama Pinda akiwa kwenye msiba wa Steve Kanumba. Lakini vilevile Mama Pinda kaenda pale akiwa kwenye gari ambayo ikiwa na nembo ya Taifa ambayo inatumiwa na...
0 Reactions
76 Replies
13K Views
Nendeni hapa walotaka kujisomea yaloandikwa na mh. lema kuhusu Pinda (Waziri mkuu JMT) kuwa muongo http://www.chadema.or.tz/habari/habari.php?id=120 1. UONGO WA KWANZA Mheshimiwa Spika, Waziri...
1 Reactions
132 Replies
13K Views
Msishangae Lowasa kuporomoka kisiasa vibaya dizaini ya kobe aporomokeavyo korongoni. Huyu jamaa anaagiza makumi ya madume kukatwa shingo watu wale nyama choma kule kwao eti ku-hifadhi yake hadhi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom