Semina elekezi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Semina elekezi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Apr 9, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Zile semina elekezi za mzee Mkubwa zilizokuwa zinafanyikia Ngurudoto zimeyeyukia wapi?
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Zipi hizo, mbona hatujazisikia?
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Zilihamia St.gaspa Dodoma......kuna task force iliundwa ikiwa chini ya katibu kiongozi Luhanjo yote hayo ni business as usual.
   
 4. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kumbeee?
   
 5. M

  Masabaja Senior Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siyo tu semina elekezi hebu mwenye taarifa ni lini tena bwana mkubwa atatembelea wizara, maana nacheka sana hivi unawezaje kutembelea wizara na idara ikiwa una vikao vya baraza la mawaziri na wewe ni mwenyekiti? Kweli huyu jamaa anapenda ziara.
   
 6. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Zile semina zilikuwa za kurudisha persent na fadhila kwa waliomuweka madarakani.
   
 7. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tena cha kuchekesha anatoa maelekezo ambayo hayatekelezwi. Mh! rais wa ajabu kweli
   
Loading...