Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CDM himahima vijijini, mjini waliobaki kuwa ccm ni mafisadi, waroho wa madaraka, waoga na wala rushwa
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Katika kuonyesha kuwa kuwa viongozi wa ccm wamechokwa katika kila kundi la jamii nchini...leo hapa uwanja wa taifa katika tamasha la pasaka ambalo mgeni rasmi ni Bernad Membe vimetawala vidole...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Kauli ya Mheshimiwa Mbowe kuwa iwapo CHADEMA kitashika dola mwaka 2015 watawala wote wanaotumia fedha za umma kwa maslahi binafisi watashitakiwa mahakamani na kupewa adhabu stahiki kama ilivyo kwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika mwenendo wa utungaji wa katiba nadhani kuweka imani ya watanzania waliopoteza juu ya umakini wa mchakato wa Kutunga katiba mpya namshauri Jk kumchagua Dr. slaa kuwa mwenyekiti wa tume ya...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Wana ccm wanatakiwa wajiulize kama kuna kigezo cha maendeleo waliofanya kwa wananchi kwanini watumie nguvu na gharama kubwa katika chaguzi ndogo.
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Ni dhahili kuwa hali ngumu ya maisha inayowakabili wanachi wengi wa tanzania ikiwemo maisha magumu,huduma duni za afya,mfumuko wa bei,dhuluma,wizi,utapeli,uongo,uongozi mbovu ikiwemo mauaji ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu Zangu, Bwana Yesu alipotembelea mto Galilaya, aliwakuta wavuvi wakivua samaki, Simoni alikuwa ni miongoni mwa wavuvi hao. Yesu akasema; " Simoni, acha kuvua samaki,nifuate ukawe mvuvi...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
CCM are so smart lakini chadema are smarter. Nilikuwa na mtu mmoja wa CCM akaniambia mission ilikuwa ni kumwekea lema pingamizi ili ccm wapite kilaini. Kwamba walimhukumu kwa kifungu batili ila...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
BY RICHARD MGAMBA 8th April 2012 As the world approached the 1990s, three major events occurred which shaped the global economy, enforcing globalisation and multiparty democracy, especially in...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi majuzi ktk mjutano wao mjini Pemba mara baada ya Lipumba kurudi toka USA akiwa na viongozi wote wa chama akiwemo Malim Seif, Jussa, Mtatiro nk prof huyo alijikosha kwa kuwa chama chao...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hivi kama ya lema ni matusi ya lusinde(kibajaji) ni nini nahitaji msaada katika hili kwa maana kweli na CCM wamekosa dira wadau nafikiri mnakumbuka kolimba jamaa walipoteza dira kitambo
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Chama cha mapinduzi ccm kimepanga mkakati wa makusudi wa kuwakwamisha chadema kwenda kwa wananchi kujiimarisha na kutoa elimu ya uraia kuhusu ujio wa katiba mpya.matukio ya kesi hizi ni moja ya...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Ambao wanaitwa ni wanasheria kwa kusoma mawazo ya watu waliopo kwenye kozi ya Jurisprudence ni wakati sasa wa kutafuta mfumo wa kuhukumu kwa haki hapa duniani maana mpaka sasa haupo kufuatana na...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Hivi karibuni, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeangaza vigezo na masharti mapya ya kujiunga na kozi mbalimbali za afya gazi ya cheti na stashahada. Kwa mujibu wa taarifa ya katibu mkuu wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nashauri idara ya pesa Chadema wawe wabunifu. Nashauri kuingia mkataba na mtu hata mimi naweza kushona magwanda ambayo yana demand kubwa sana kwa sasa na angalao chama kipate asilimia 30 ya faida...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Nikiwa kama mtanzania mwenye kuipenda nchi yangu tukufu Tanzania, napenda kutoa maoni yangu kuhusu huyu kijana aliyeshujaa anayepaswa kuungwa mkono kwa hali na mali. Kwa maoni yangu Mh Lema...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Closed
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi...
0 Reactions
100 Replies
10K Views
JE NI NI KWELI BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA H E ambassador batlida ataachia nafasi ya aliyoteuliwa na mheshimiwa rais kikwete kuwa balozi na kuja kugombea ubunge? ni kweli rais kikwete...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wana JF, Mtusaidie wana Ruvuma tupo kwenye limbi kubwa jeusi na zito la ukosefu wa Elimu ya URAIA. Ndo maana CCM tunakiona kama chama kutoka kwa Mungu. Wanaharakati tunatamani sana mabiliko ila...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Upendo ni uvumilivu, upendo ni kusaidiana katika mahitaji muhimu. Sasa kama upendo ni kusaidiana katika mahitaji muhimu, inakuwaje viongozi wa Chama la magamba wanakuwa wabinafsi? Wanakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom