Je jf mnaonaje hali hii? Inweza kuwa kipimo cha ukata kwa mtanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je jf mnaonaje hali hii? Inweza kuwa kipimo cha ukata kwa mtanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mboja, Apr 9, 2012.

 1. M

  Mboja Senior Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nimefuatilia matukio mawili hivi karibuni ktk mji wa Iringa. Mimi naamini ni ukata na sikukataa burudani kama nilivyo ikuta kwenye Blog moja ya Francis Godwin ikiwa hivi. Jinamizi la kukataliwa kwa burudani limeendelea kuukumba mji wa Iringa kwa wakazi wake kuendelea kujiweka kando na burudani na kuendelea kutoa hukumu kwa wasanii na bendi mbali mbali za Muziki zinazoendelea kuja mjini hapa baada ya juzi kuihukumu bendi ya Stono Muziki wajela jela Orijinal na jana kwa watu 53 kuingia katika ukumbi huo wa New Life ,jinamizi hilo limeendelea kutikisa mjini wa Iringa baada ya onyesho la mkesha wa Pasaka lililopambwa na kundi zima la Super Shine Modern Taarab wana kata kiu kujikuta wakisusiwa ukumbi wa St.Dominic kwa ukumbi mzima kuingia watu sit a wakiwemo wanandoa wawili na rafiki wa muandaaji wa show hiyo wawili.

  Hii inafaa apelekewe Mwanaanga Baba Mwanaasha pengine atapunguza safari awanusuru wananchi wake!
   
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sio siri hali za ki uchumi kwa watanzania sasa hivi ni choka mbaya, ikumbukwe kwamba uchumi na circulation of opotunity for all citizen sasa ikitokea sector fulani imekwama maana yake automatically mzunguko mzima wa uchumi utakuwa umekwama na naamini hiyo ndio imepelekea yaliyotokea huko Iringa.Mimia kama mfano sikukuu yote sikutoka hata nyumbani kujua huko mtaani mambo yanaendeleaje kwani sikua na kianzio cha kuendea mtaani. Hiki ni kifo cha wengi na kinahitaji full political attention.
   
 3. M

  Mboja Senior Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mimi nilileta hii kwa wana JF, tufanye kama kautafiti tu kwani naamini hii hali sio Iringa tu.
   
 4. B

  BORATUMBO Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Uende mziki halafu nyumbani wale nyasi? Wale watoto tulizoea miaka ile wamependeza kwa nguo mpya hamna tena vyakula bei juu ada kama unanunua shule utachezaje rhumba? Mi mwenyewe pasaka imenikuta sina hata 100!!
   
 5. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,433
  Likes Received: 10,627
  Trophy Points: 280
  kiingilio cha hiyo shoo ilikuwa bei gani?

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
   
Loading...