Rufaa ya lema-chadema

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Ni uamuzi mzuri kukata rufaa, LAKINI KWA MAJAJI WAPI. Kama ni Watukufu waheshimiwa Nsekela, Munuo, Kimaro, Rutakangwa na wengine ambao sijawataja hawa hukumu zao ni za haki kabisa. Just go and read their verdicts and how they address issues formulated. Hawa haki itatendeka!!! Hawa ndio nimesoma hukumu zao nyingi
 
Huyu mwingine wa double standard, yaani kosa la uizi wakuku, hukumu ya kuua mtu. Hujasoma nanihii zake maana nasikia ni very intelligent
 
Huyu mwingine wa double standard, yaani kosa la uizi wakuku, hukumu ya kuua mtu. Hujasoma nanihii zake maana nasikia ni very intelligent

Sijakuelewa, lakini naamini hawa ni watu watenda haki. Soma hukumu zao utaona. Just google some of them!!
 
mimi ni mwanafunzi wa sheria, nasoma sana precedents!!! Sorry aliyeanza kazi juzi ni nani?

Mkuu kumbe bado unaingia ATB? na siku hizi hata moot court hamfanyi, Hata yule aliyetoa hukumu tarehe tano nae anajiona hukumu yake ni ya haki na ni lazima atapata wanafunzi kwa kusoma hukumu yake. Ila angalieni aisee mnainajisi elimu kwa kuwa compromised na wanasiasa. Hivi leo hii mtu akishitakiwa halafu asikie judge mujuluzi au Rwakibalira ndiyo msikiliza kesi atakuwa na imani kweli?. Hawa nshomile wameniangusha kabisa.
 
Back
Top Bottom