Kama mtanzania ninajiandaa kumburuza lusinde mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama mtanzania ninajiandaa kumburuza lusinde mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JASOTA, Apr 9, 2012.

 1. J

  JASOTA Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa jina naitwa classroom teacher,mkazi wa jiji mwanza nina elimu ya juu kutoka chuo kilichojengwa na baba yangu (udom).
  my dears...ninaufahamu kidogo sana na masuala ya sheria,lakini haitakua tija ya mimi kutekeleza adhma yangu.
  Baba yangu alikua hakimu mkazi na kwa wadhifa wake aliwahi kumuhukumu jamaa mmoja kifungo cha miaka 3 jela bila faini kwa kosa la kutoa matusi hadharani....nina uhakika sheria hii haijafutwa na bado inanguvu kama si kuboreshwa zaidi.
  Kumbe ndugu watanzania ninayofursa ya kikatiba kumshtaki bwana livingston lusinde mahakamani kwakosa la kutoa matusi hadharani endapo jamhuri haitamchukulia hatua za kisheria....hii adhma yangu nitaitekeleza ndani ya siku saba kama jamhuri itaendelea kukumbatia huu uhuni uliofanywa na kiongozi mkubwa kama huyu.sikuwai kuisoma ama kuisikua lakini leo nimefanya hivyo na nikapandwa na hasira
  pili,mimi kama mkatoliki nimefadhaishwa sana kwa bwana lusinde kudhalilisha kanisa langu kwa tafsiri kua wanakwaya wetu hupewa mimba na mapadre...kwa hili nimelia sana,,,sitanii...nimelia kwakua mama yangu alikua mwanakwaya na mimi ni mwanakwaya,,dada zangu watatu ni wanakwaya,,,kumbe watapewa mimba na mapadre???huu ni udhalilishaji wa imani yetu...kwa hili ninamuomba mr.lusinde atoe ushahidi wa wanakwaya kupewa mimba na mapadre zaidi amuhusishe dr.slaa na hilo tukio...akishindwa ndani ya siku tatu nitamburuza cortini,,kwani kesho nitaenda kuonana na mhashamu baba askofu wa jimbo kuu la mwanza.
  Mwisho nasisitiza kumshtaki mr.lusinde mahakamani kwakulidhalilisha taifa langu na kuvunja sheria za jamhuri...
  Shame on you lusinde
   
Loading...