Kamanda Lema kuanza Dar!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda Lema kuanza Dar!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by eumb, Apr 8, 2012.

 1. eumb

  eumb Senior Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimesoma kwenye Tanzania daima kuwa Kamanda Lema ataanzia mzunguko wake Dar, tukiwa wapenda mageuzi na watamanio haki kutawala ktk nchii, tunaomba tarehe iwekwe wazi mapema ilikuanza uhamasishaji wa kumpokea Kamanda wa kweli!!
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,097
  Likes Received: 10,453
  Trophy Points: 280
  Namsubiri kwa hamu kamanda wangu...
   
 3. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ajē na dodoma ānze na wanavyuo maana kuna wanavyuo utadhania hawajaelimika
   
 4. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Haswaaa mr busta
   
 5. v

  vangiling'ombe Senior Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanalipiwa na RITZ wahangaike nn na nguvu ya umma.
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  namsubiri kwa hamu
   
 7. M

  Murukulazo JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 576
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  karibu kamanda....
   
 8. javascript

  javascript Senior Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Maoni yangu, Lema awe katibu muenezi apambane na Nape majimboni na Dr. Slaa aje agombee Arusha

  Lema aongoze maandamano na mapambano yote because Mnyika yupo busy
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Msijali wakuu, ratiba itawekwa wazi.
  Kamanda Lema atakuwa kwenye mfungo kwa muda wa wiki moja kuanzia J4
   
 10. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Karibu sana kamanda, usisahau moro huku kwani huyu gamba abood kashajisahau sana alafu pia na kule kwetu Tabora uje tumtoe al shababy RageĀ“
  bravo kamanda lema.
   
 11. M

  MWINUKA E Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dodoma anakuja kumleta Dogo janja Nassari Bungeni siku ya Jumanne yaani kesho kutwa. Hivyo itumieni fursa hiyo.
   
 12. w

  woyowoyo Senior Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lema? Lema? Lema huyu si mchaga huyu? huku Dar hatuwafagilii wachaga ni wabaguzi hawa hawafai kupewa nchi
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  lema hataki kupewa nchi bali atawakumbusha wajibu wa wananchi kumpa nchi kiongozi sahihi.
   
 14. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Lema lema lema lema lema lema lemal lema lema lema lema lema lema lema lema lema lema lema lema lema lema lema lema lema lema lema...............................................................................x1oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo................................................
   
 15. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wewe ni kisaa sijawahi ona
   
 16. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hayo mambo wanayaweza cuf tu sio nyie wafanya siasa za mtandaoni jf
   
 17. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  we kweli mchagga,naona umepiga ile ya kiswahili ya nyumbani kabisa "kisaa" badala ya kichaa!
   
 18. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hivi ameacha mchezo waliomfundisha kule mahabusu au?maana nasikia ukishaanza ile huachi,mlio karibu nae hebu mchungezeni kimya kimya nyendo zake then mtumwagie info hapa kama kawaida yetu jf tuwe wa kwanza kujua
   
 19. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 649
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  bwashee taratibu leo Pasaka. Msamehe bure. Elyo tondo lya warumu
   
 20. m

  massai JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  timid of minds,huku mwanza ndio wanao run rock city na wenyeji wanawakubali sana kwani wana uthubutu na ni creativity wazuri sana.usibishane na ukweli,utakua unajipotezea nafasi ya kuongeza siku za kuishi duniani na afya vilevile.piga hesabu wafanya biashara wakubwa kariakoo ni kabila gani,majumba ya mbezi na masaki,maisha bora kwa ujumla then calculate alafu usitupe jibu.
   
Loading...