Audio: Hotuba ya Mh. Lema viwanja vya NMC tarehe 7/4/2012

blue eyez

Member
Nov 18, 2011
8
1
Heshma kwenu Wakuu,

Naombeni kwa mdau yeyote mwenye Audio Link (full coverage) ya hotuba za Mh. Lema na Mh. Mbowe zilizotolewa viwanja vya NMC 7/4/12 juu ya hukumu ya kesi ya Lema na hatma ya ubunge wa Arusha anisaidie hapa ili nipate kuisikiliza.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom