Jinsi CCM na CHADEMA wanavyoshirikiana kuviangamiza vyama vya upinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi CCM na CHADEMA wanavyoshirikiana kuviangamiza vyama vya upinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EL MAGNIFICAL, Apr 8, 2012.

 1. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Chama cha mapinduzi ni chama tawala hapa nchini kwetu na kimekuwa madarakani enzi na enzi tangu kuzaliwa kwake.
  Baada ya Tanzania kuingia ktk mfumo wa vyama vingi kimekuwa kikipata upinzani mkali kutoka vyama vya upinzani.
  Na kwakuwa mfumo uliopo ni wa vyama vingi na wao imani yao ni kutawala milele basi wamekuwa wakiwatumia vibaraka wao ili kuvivuruga vyama ivyo. na vyama kukosa nguvu kwa wananchi na wananchi pia kukosa imani na vyama hivyo.
  Mfano wa chama kilichouliwa kabisa ni nccr mageuzi ambacho kilijizolea umaarufu mkubwa mwaka 1995. Lakini pongezi kwa wana nccr mageuzi jitihada zenu tunaziona za kujiinua.
  Vyama vingine vya kisiasa kama sau, chausta, dp, tlp nk hivi ndio vimekosa kabisa support ya serikali hivyo udhaifu huo utapelekea vifo vya vyama hivi.
  Chama cha mapinduzi kwa tetesi zilizopo ni kuwa hadi sasa kalibia kila chama cha upinzani wamepandikiza mashushu hivyo basi kwa yoyote anayemjua pandikizi huyo bila kuumauma maneno kwa manufaa ya Taifa letu hebu leo tuwaanike bila kificho !
  Hilo ni la kwanza la pili kwanini nimeihusisha cdm nayo katika maangamizi ya vyama vya upinzani !
  Mbali na misukosuko mikubwa vyama vingine vinayopata kutoka ccm, cdm nayo imekuwa ikipigilia msumali kwa kuvituhumu vyama vingne vya upinzani kuwa ni vibaraka wa ccm na kusababisha wananchi kuingia na wasiwasi kuhusu hilo.
  Chadema chonde chonde matumizi ya kauli iyo si mazuri !
  Na ukizingatia kwa sasa cdm ndio chama cha upinzani chenye nguvu.
  Nawasilisha.
   
 2. N

  Nabihu JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Subir matusi
   
 3. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwanini !
   
 4. c

  chi-boy Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  imekaa kama stry ya kijiweni..
   
 5. N

  Nabihu JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  hao jamaa(CDM)ukiwaambia ukwel hawajibu kwa hoja wao wanatukana tu
   
 6. The hammer

  The hammer JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 1,236
  Trophy Points: 280
  Hey vyema sana, hivi kale kacheti ka form IV una daraja gani vile......analysis yako inawafaa zaidi watu wa mirembe kuwachunguza kama wamepona au la...
  Hebu lete na nyingine ili tuwe nazo nyingi kwa majaribio yetu pale mirembe may b itasaidia
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nianze na hoja ya CDM kuvituhumu vyama vingine mapandikizi ya CCM.

  Kwangu mimi CDM wapi sahihi kwa sababu vyama vya upinzani vyenyewe havipendani hasa chaa kimoja kinapoonekana kupanda chati na kukubalika na wananchi. Mfano mwepesi ni CUF katika kuunda kambi ya upinzani hebu imagine kama CDM ingekubali kuunda umoja huo na CUF saizi hatma yake ingekuwaje? Ni kama nayo CDM ingepiteza mvuto kufokana na CUF kupoteza uelekeo na mvuto.

  Pili, CCM kupandikiza mashushushu au UWT katika vyama. Hilo ni kweli naungana nao. Kinachowashinda hawa jamaa ni kitu kimoja. CCM inaharibu sana mpaka jamaa wanaona hakuna haja ya kuharibu vyama hivyo maana CCM ndiyo itajisahau na kufanya nchi hii iingie msabweni zaidi japokuwa ipo hapo.

  Mfano mzuri ni suala la Zitto, kuna watu wanaomtuhumu Zitto kama kibaraka wa serikali ndani ya CDM. Lakini hata kama ni ukweli au uongo Zitto kwa kutumia akili yake tu hawezi na hatakubali kuua upinzani kwa sababu anajua kabisa CCM haina maisha marefu zaidi ya kutegemea dolla ambayi ni dalili ya mwisho ya chama kinachokaribia kufa. Kwa maana hiyo anakuw yupo 50%.
   
 8. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  zamani ilikuwa ajabu ila kwasasa si kitu cha kushangaza kuona mtu anajitekenya mwenyewe na anacheka mwenyewe....!
  Sawa great thinker nimekuelewa.
   
 9. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  big up mzee wa rula thankx kwa uchambuzi mzuri.
  Huo ndio ukomavu wa kisiasa ujenzi wa hoja na sio vioja.
  Nnachojua elimu ni kufunza na kufunzwa.
   
 10. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sijui hata nikusaidiaje !
   
 11. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Hivi mtu akishirikiana na mpinzani wako kukumaliza utamwitaje?
   
 12. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kichomiz sifikilii kama kuna jina lingine zaidi ya msaliti !
   
 13. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utakuwa mpumbavu kama utajibu kitu hata ambacho si hoja. Kama hoja ipo tunajibu na kama hakuna hoja tunapuuza kwa sababu tunawafahamu Magamba, huwa wanataka kufahamu ni kiasi gani tunaichukia CCM.

  Anyway, mleta uzi ana hoja. Nionavyo mimi, Chadema kusema kuwa vyama vingine ni vibaraka wa CCM ni kutokana na muenendo wa vyama hivyo. Kwa mfano, angalia wabunge wa CUF wakiwa bunge la Jamhuri hapo DOM, unawatofautishaje na wabunge wa CCM? Msikilize Mrema...unamtofautishaje na Wassira? Unakumbuka kwa nini Cheyo alizomewa na kushushwa kwenye jukwaa kwenye kongamano la kwanza la Katiba lililofanyika kwenye ukumbi wa Nkurumah UDSM? Sasa kama mtu ana element za KI-gamba gamba tunashindwaje kusema kuwa ni mmoja kati ya wana ccm? Nafikiri umeelewa kwa nini CDM tunasema baadhi ya vyama vya upinzani ni nyumba ndogo za Magamba.
  Nipinge kwa hoja, sio kutukana....
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  If that is the case, then Chadema hawana namna nyengine ya kuvipamba vyama vingine vya upinzani vinavyoshirikiana na ccm zaidi ya hivi wanavyofanya sasa.
  Kazi ni moja tu kwa vyama vingine vya upinzani, kujitenga na ccm. Lakini vikiendelea kukubali kutumiwa, Chadema haitaacha kuwaambia ukweli na kuwatahadharisha wananchi wajiepushe navyo.
   
 15. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Hii angeipeleka kule FB kwenye tanuru la fikra.. Hapa inaonekana kupwaya sana.. Vinginevyo atalalamika kutukanwa mpaka mwisho.. Ni ushauri tu lakini..
   
 16. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nashukulu kama umetambua nisemayo yana ukweli lakini naomba ujifunze kitu kama unatukanwa na kitu usemacho ni cha kweli shukuru maana msg inakuwa imefika lakini kama ni uongo lengo la kupewa matusi ni kwamba ujilekebishe.
   
 17. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Watu wa Upinzani waliojipandikiza CCM ni Wawili tu nao Masumbuka Lamwai na Jamaa mmoja mpuuzi mpuuzi agh jina limenitoka alikuwa kitengo cha propoganda cha CCM Ops nimekumbuka anaitwa Tambwe Hiza. Lakini pia CCM wameshachoka choka kutawala wanachofanya ni kutukomoa tu. hiyo ni kwenye RED
  Green. Ni kuwa tunachohitaji watanzania ni kuzinduliwa kutoka kwenye ufu na utaahira tulikuwa nao. Na CHADEMA ndio tu wameweza kufanya hayo matibabu. Hakuna chama kingine ambacho kinaweza kufanya kinachofanywa na CDM. Sasa hivi tupo kwenye mapambano ya kumng,oa Mkoloni CCM huku kanda ya Kaskazini tumebakisha maeneo machache sana . I wish tutashinda tu .MUNGU NI MWEMA
   
 18. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu sipangani na wewe umesema vizuri lakini labda nihoji je ni vyama vyote vya upinzani vina mahusiano na ccm ukiondoa cdm ?
   
 19. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu maneno yana tija sana ila kama ni kweli VINATUMIWA na ccm.
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa yako tu kabla ya CUF kuwa saliti chadema walikuwa na uhusiano wa hali ya juu mno mpaka kufikia kupanga mipango nani ashambulia kanda ipi na nani ashambulia kanda ipi....Chadema walikuwa wanapanda majukwaani kuwa nadi CUF lakini baadae waka wasaliti na baada ya kuwa saliti sikilizia mziki unaanzia Mtwara, Lindi kifupi ni mikoa ya pwani yote ambayo kimsingi chama cha upinzani kilichokuwa na nguvu ni CUF.......
   
Loading...