''Binadamu karuhusiwa kula nyama' lakini...

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Msishangae Lowasa kuporomoka kisiasa vibaya dizaini ya kobe aporomokeavyo korongoni. Huyu jamaa anaagiza makumi ya madume kukatwa shingo watu wale nyama choma kule kwao eti ku-hifadhi yake hadhi. Sawa binadamu karuhusiwa kula nyama kakini hii ni sawa kwa Mungu! Kufanya wanyama wengi kwa pamoja nyama choma kama kwao nikiama ili eti upendwe? Na bado kwenzi kutoka mbinguni juu ya kichwa cha mtu. (hero2zero)
 
acha ale mema ya nchi na watu wake.......
kila jambo na wakati wake.......

Preta.....
safarini Monduli........
 
Msishangae Lowasa kuporomoka kisiasa vibaya dizaini ya kobe aporomokeavyo korongoni. Huyu jamaa anaagiza makumi ya madume kukatwa shingo watu wale nyama choma kule kwao eti ku-hifadhi yake hadhi. Sawa binadamu karuhusiwa kula nyama kakini hii ni sawa kwa Mungu! Kufanya wanyama wengi kwa pamoja nyama choma kama kwao nikiama ili eti upendwe? Na bado kwenzi kutoka mbinguni juu ya kichwa cha mtu. (hero2zero)

naona uchungu wa kifo cha kanumba unawafanya watu kuropoka tu!

ebu rudia post yako na uone kama ungekuwa 'wewe' ungeandika haya

lowassa ana tabia ya kufanya hivyo kuanzia miaka 15 iliyopita!! tunajua hivyo...yuko hivyo...kuangusha ng'ombe 50 kwa pasaka au x-mas si ajabu...

hafanyi hivyo ili apendwe...tayari anapendwa kwao...na ni mkuu wa kabila lao!!!

au unataka kusema hizo nyama amegawa tanzania nzima

acha ujinga bana!
 
Kwahiyo ng'ombe 50 kuchinja kwa pamoja nisawa!. Wewe hujui science wala Mungu! Ni saturated-kada. Upigiwe vigelegele kisa damu nyini kiasi hicho. La haula.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom