Wakemea wanasiasa kutumia matusi majukwaani
Wasema usikivu, umakini wapungua kwa viongozi
Askofu Msaidizi Eusebius Nzigirwa wa Kanisa katoliki la St Joseph, jijini Dar es Salaam, akitoa...
Kwa mujibu wa M Kiti wa CDM Mhe Freman Mbowe, CDM itatoa kauli rasmi jumamosi hii, kama kitakata rufaa au kitakubali maamuzi ya mahakama. Hii inatokana na kwamba kukubali uamuzi wa mahakama...
Na Sitta Tumma, Mwanza
MBUNGE wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere (CHADEMA), amezidi kumkaba koo Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, safari hii akitaka kiongozi huyo aondolewe pensheni...
nikiwa nina haki kikatiba.ya kuchagua kiongozi ama mimi mwenyewe kuchaguliwa kama kiongozi, nina nia ya kuchukua form 2015.endapo chama changu kitaridhia cv yangu.na kunipitisha kupeperusha...
Sheria ya marekebisho ya katiba mpya inapendekeza kamati ya tume iwe na majina 30, 15 toka pande zote mbili.
Inavyoonekana Zanzibar kama nchi inawakilishwa na wajumbe 15, Serikali ya Jamhuri ya...
Namwona mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za serikali mh John Cheyo anatoka mapovu akilia na serikali inajipangia bajeti itakavyo na matumizi makubwa nje ya yaliyopitishwa na bunge na hakuna sheria...
Taarifa Ya Kikao Kijacho Cha Bunge
KIAPO CHA UTII KWA WABUNGE WAPYA:
Kwa mujibu wa masharti ya Kanuni ya 24(1) ya Kanuni za Bunge, toleo la 2007 kutakuwa na Kiapo cha Utii kwa Wabunge...
Najua JF ni kisima cha kumbukumbu,
Natafuta tarehe ambayo Juliu Nyerere aliachia ngazi unyekekiti wa CCM. Pia na tarehe ambayo NEC-CCM ilikaa huko Zanzibar na kulifuta Azimio la Arusha.
Nataka...
Maoni yangu katika katiba mpya kuwepo na kipengele kitakachoongelea uhuru wa mbunge. Katika uhuru huo pamoja na mambo mengine itamkwe wazi kwamba mbunge ana uhuru wa kwenda chama chochote na bado...
Viongozi wa vyama vya siasa hasa pinzani watoe uhuru mpana kwa wanao taka kugombea nafasi zao kwani inaonekana watu wakijitokeza kiongozi anaona kama anapodwa madaraka hali madaraka ni dhamana na...
Inanikera sana na watanzania pia wanakereka na kuumizwa na hizi safari za kila siku za raisi.ninachojiuliza ni nini kazi ya waziri wa mambo ya nje ikiwa kilasiku raisi kiguu na njia.au ndio...
Nipo Kiwira sasa na nimepata nafasi ya kukutana na watu walionusa harufu ya mabomu ya machozi wiki iliyopita katika uchaguzi mdogo wa udiwani ulioipa CDM ushindi wa kishindo. Nimepata habari...
Tukiwa kama watanzania tuna haki ya kusifu mchango wa mtu au kundi kufulani, tunakubali mchango wa cdm ndani na nje ya bunge lakini hapa jf zikiwekwa post ya kumzunumzia mtu muhimu na makini kama...
Diwani wa CCM kata ya Mpwapwa amefariki huko India aikoenda kwa matibabu, amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kupigana na ugonjwa wa ini uliopelekea figo zake kufeli kabisa. Huko India alienda...
Wana ukombozi,inasikitisha juu ya hili jimbo lililopakana na ndugu zetu wa Kenya wenye msisimuko wa kimageuzi ya fikra.Jimbo hili watu wake bado wanaamini wafanyabiashara mbumbumu wasio na uwezo...
wana JF,
Umeme una manufaa makubwa kwa maisha ya kila siku kwa binadamu na endapo kukawa na ukosefu au mgawo wa umeme, kutakuwa na madhara makubwa kwa kuwa umeme unatumika viwandani, hospitalini...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kuchambua wasifu wa wajumbe walioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.