Mzindakaya na mwanawe wanawasaidi wahamiaji haramu wa Kenya kuhujumu taifa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzindakaya na mwanawe wanawasaidi wahamiaji haramu wa Kenya kuhujumu taifa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LENGIO, Apr 12, 2012.

 1. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,033
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Katika hali ambayo niya kushangaza kabisa,mzindakaya anapewa maagizo na kiongozi mmoja wa kenya amsaidie mualifu aitwae davis antony mragha ngoo ambaye alikuwa amekamtwa na uhamiaji kwa kosa la kukutwa na pass ya kusafiria ya tanzania no AB 411585 ambayo aipata kwa kudai ni mtanzania.na ana paspot nyingine ya kenya anayotumia kusafirishia madini namba no A1608769 na baado amenunua bastola anasubiri kibali .akiwa rumande mzindakaya akamtuma mwanaye wa uhamiaji kumtoa mkenya huyo.na sasa hivi yuko dodoma na mtoto huyo wa mzindakaya kwa lengo la kumkutanisha na ngeleja na nahodha.licha yakuambiwa baba yake na huyo davis mzee antony ngoo ambaye pia sio mtanzania.baba yake aliwahi kukamatwa miaka 90 alihonga makahamani akaenda nunua watu kutoka kahe wakadai ni ndugu yao sasa hivi anatembea na nakala ya hukumu anadai ndio urai wake huo .MZINDAKAYA huyo mzee ndio tuliokuwa tunamuona kidogo afadhali.nawauliza wa JF TZ nani msafi nchi hii.:cool::tape:
   
 2. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nchi imeuzwaa....!
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mzindakaya nilikuwa namuona mzalendo miaka ile ya 80s - 90s akiwa Mkuu wa mkoa na mbunge!
  Lakini kuanzia miaka ya 2000s anaonekana kubadilika sana, uzalendo umekwisha, amekuwa fisadi.
   
 4. kijenge

  kijenge Senior Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Hawa wastaafu wote hakuna afadhali sasa kama wana washawishi watoto wao kufisadi nchi.huko baadae labda akaja kuwa waziri unategemea nini?huyu mzee akamatwe.
   
 5. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mzindakaya alishapoteza mwelekeo siku nyingi sana kuanzi mwanzoni mwa miaka ya 2000.Alikuwa anapiga kelele kujiwekea mazingira mazuri ya kifisadi.
   
 6. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  sasa afanyaje wenzake wanakula kwanini na yeye asile mazingira umbadilisha mtu!
   
 7. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mzindakaya ni fisadi wa siku nyingi ambaye alilitumia bunge na ccm kama mapango ya kujifichia anapofanya ujangili wake!! Alichukua mabillioni ya shililngi pale benki kuu enzi ya Gavana Ballali ambayo mpaka sasa ni kitendawili ilikuwaje benki kuu ikampa zile fedha? Alikuwa na kampuni na vitalu vya uwindaji na anadaiwa fedha nyingi tu na wizara ya maliasili kwa muda mrefu sasa hajaweza kulipa deni hilo na hapo hapo anapewa kuwa Mwenyekiti wa NDC kulinda maslahi ys mkweree; kumpa Subash Patel mgodi wa chuma huko mchuchuma!!! Hiyo ndio lala salama ya raia wa Msoga.
   
Loading...