balozi sefue ahudhuria mkutano wa maafisa waandamizi wa serikali nchi za jumuiya ya madola, London | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

balozi sefue ahudhuria mkutano wa maafisa waandamizi wa serikali nchi za jumuiya ya madola, London

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alles Ally, Apr 13, 2012.

 1. A

  Alles Ally New Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni (Sefue wa pili kushoto), akifatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Umoja wa Mataifa, Bwana J.Haule (wa pili kulia) watahudhuria vikao vya Maafisa waandamizi wa nchi za Jumuiya za Madola mjini London. Leo walipata nafasi ya kutembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania chini Uingereza. Pichani wakiwa pamoja na Balozi Peter Kallaghe (shoto), na Naibu Balozi Chabaka Kilumanga,

  Aidha Mhe. Balozi Sefue, atapata nafasi ya kufanya mazungumzo na Maafisa wa Taasisi ya Smart Partneship movement kuhusu maandalizi ya kikao kijacho kinachotarajia kufanyika Tanzania 2013.

  [​IMG]
   
Loading...