Pinda kadhihirisha serikali yetu ni legelege kwa kutowajibisha mawaziri wake

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Gazeti la Uhuru limepambwa na kichwa cha habari Pinda kamzima Mbowe bungeni kwa maandishi makubwaaa.

Hivi kweli Pinda anadhani maswali mazito kwa majibu mepesi kwa matumizi mabaya ya nyazifa za mawaziri kuwahadaa wananchi kwa kidingizio cha demokrasia na kushindwa kuwawajibisha kwa kauli zao hii ni udhaifu wa uongozi na uwajibikaji wa viongozi na watumishi wake.

Utofauti wake na kina Magifuli, Nagu na Chipa.......i uko wapi wote hawa asili yao moja ni mafisadi hakuna msafi ndani ya serikali.

Kwa lugha rahisi walikuwa wanatania
 
Gazeti la Uhuru limepambwa na kichwa cha habari Pinda kamzima Mbowe bungeni kwa maandishi makubwaaa. Hivi kweli Pinda anadhani maswali mazito kwa majibu mepesi kwa matumizi mabaya ya nyazifa za mawaziri kuwahadaa wananchi kwa kidingizio cha demokrasia na kushindwa kuwawajibisha kwa kauli zao hii ni udhaifu wa uongozi na uwajibikaji wa viongozi na watumishi wake. Utofauti wake na kina Magifuli, Nagu na Chipa.......i uko wapi wote hawa asili yao moja ni mafisadi hakuna msafi ndani ya serikali. Kwa lugha rahisi walikuwa wanatania

in war truth is the first casualty. mawaziri walikuwa wakiwatishia nyau wapiga kura.
 
Back
Top Bottom