CHADEMA acheni kupoteza muda, Tamko lishatolewa na Mtei | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA acheni kupoteza muda, Tamko lishatolewa na Mtei

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Apr 8, 2012.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  pichani: Freeman Mbowe akiwa na dedi yake...Ed Mtei

  I cant see how Freeman Mbowe atakavyoweza kuja na tamko la wajumbe wa katiba zaidi ya hayo aliyoyasema mwanzilishi wa CHADEMA bwana Edwin Mtei ambaye ni baba mkwe wa Freeman Mbowe.

  sasa nawashauri Chadema, msipoteze muda wa kuita press conference msiharibu mazingira kuchapisha tamko kwenye makaratasi.

  Msimamo wa Ed Mtei ni kuwa wajumbe wakatiba ni waislam wengi kuliko wakristo na sababu zake Pasco alishazichambua na kila mtu kaziona kuwa ni muflis (najua watakuja kumparamaia Pasco kuwa ni Mgamba etc) lakini naomba tusipotezeane muda.

  Unless juna jopo la waliobobea kwenye hii issue ya constitution ( includingwaziri kivuli wa katiba na sheria) waje na hoja zilizosheheni kwa nini wanamuunga mkono Mtei.
   
 2. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,554
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  ccm imetumia karata ya udini wa cuf kwenye tume, hujaona hilo?Katiba ni ya muungano ama ya "waislam wa Zanzibar"?
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yeah waacha wawe wengi kama watatoa Mapendekezo Mazuri, Miafaka Mizuri sidhani hiyo ni Tatizo

  Mnakumbuka Kenya? Walikuwa na Wahindi Majaji wawili ambao ndio viongozi wa Muafaka wa Katiba ndio wao waliokuwa

  na Mawaidha ya Mwisho Angalia Katiba ya Kenya Ilivyotoka hakuna aliyeipinga kila mtu anaikumbatia

  Wahindi Kenya ni alilima 2 ya Ididi ya Wananchi wa Kenya lakini wametoa Katiba bora kwa Wananchi wa Aina yote wa

  Kenya

  Tusihangaike na nani na nani katajwa, kitu tunataka ni nini kilichoko akilini mwano kitaisaidia Taifa la Tanganyika na

  Zanzibar

  Na Sio Maumbile yao Unene wao, Mapaja yao, Vidole Vyao... lakini ukiwafinya hao woote watatokwa na damu nyekundu?
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Aisee wakuu cuf tumeona jinsi kilipenyeza udini ktk uteuzi wa tume ya katiba chama hiki hakitufai bara.
   
 5. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Ni kweli nauunga mkono 100% kuna udini ktika uteuzi wa wajumbe haiwezekani Tanganyika kukawa na wajumbe 4 tu waislam kati ya wajumbe 15, siungi mkono kabisa katika hili, ilitakiwa kuwena 7 kwa 7 na mmoja awe mpagani ili haki itendeke.
   
 6. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mwenyekiti wa tume ni mkristo na ametoka Bara na makamu mwenyekiti wake aliyetoka Zanzibar naye ni mkristo je hapo mnasemaje Chadema je waislamu nao wasemeje??? Sasa naamini kweli Chadema nyuma yake kuna nguvu ya kanisa kwasababu hamuwezi kuja hoja muflis kama hii it is a shame!!!!
   
 7. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Nazani si busara kupotosha umma!! Kama ungelalamika ni kwanini Tz Bara na Zanzibar itoe idadi sawa ya wajumbe, huenda ningekuelewa hasa baada ya kutoa hoja za msingi!! Lakini, as far as Tz Bara na Zanzibar wanatoa idadi sawa ya wajumbe then there's no way kwamba idadi ya wakristo na waislamu itakuwa sawa unless uamue kwamba kwavile watakaotoka znz wote ni waislamu basi Bara wateuliwe wakristo watupu!! Hayo yatakuwa ni maamuzi ya kipumbavu ambayo ni kiongozi mpumbavu tu ndie anayeweza kuyafanya!

  Waliochaguliwa Zanzibar sio waislamu wa Zanzibar bali ni Wazanzibari.....imetokea tu kwamba wote ni waislamu; kitu ambacho mimi na wewe hatuwezi kukibadilisha!! Mkisikia udini usio na maana ndio huu...!!
   
 8. m

  mhdn Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wameshaanza kulewa sifa hao ss mtei anasema eti ina waislam wengi alitaka wawekwe watu wa kaskazin nn........ am very much disapointed ckutegemea huyu mzee anaweza kutoa mawazo mufilisi kama hayo......
   
 9. l

  liverpool2012 Senior Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Source plz.
   
 10. m

  mhdn Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Exactly mkuu CDM wana agenda ya siri haiwezekan muasisi aseme maneno kama hayo...... tuwe makin na hawa watu wanatupeleka kubaya
   
 11. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni hatari sana tukiangalia kila kitu kupitia dirisha la dini...wanaweza wakachaguliwa wajumbe wote kutoka bara wakristu na kama kawaida wote kutoka zanzibar waislam lakini product ya mwisho ikawa mbovu...! Cha msingi ni kuzingatia uadilifu wa wajumbe...! Mimi haitaniumiza hata kama wajumbe wote ni waislam as long as kuna uhakika wa kupata katiba nzuri...!
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Huyu mzee Mtei kumbe ni mdini kiasi hicho eti anasema wajumbe wa Tanzania Bara kuna Wakiristo na wengine hawana dini nimemuliza tutajie hao ambao hawana dini kakimbia thread yake hawa wazee ndio wamelifikisha hapa taifa letu.
   
 13. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu hauwezi kuwa Msimamo wa CHADEMA kwa sababu msimamo wa CHADEMA tayari ulishawekwa hapa:
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/247054-taarifa-ya-msimamo-wa-cdm-juu-ya-uteuzi-wa-tume-ya-mchakato-wa-katiba-mpya.html

  Serayamajimbo
   
 14. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...commet yako imetulia mkuu na nnaunga mkono hoja...
   
 15. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Hamna haja ya kusbishana na pro-CCM ambao siku hizi wakisikia CHADEMA au mtu yeyote akimtaja mungu basi kwao inakuwa kama umewatusi hadi wanakuombea ban kwa mods. KAZI KWELI KWELI!
   
 16. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Pole kwa kulitambua hilo leo!
   
 17. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Huyu mzee ni muasisi wa hichi chama au kitaalamu anaitwa founder wa Chadema ni sawa na Nyerere kwa CCM ana influence kubwa sana chamani kwake. Kama ana fikra hizi si hasha hata hao wengine wana mtazamo huo huo ni vema Chadema wakaja kukanusha hili kwani tunataka watu makini katika tume na sio dini? Tukitazama dirisha la dini mtaibua grievance za waislamu za siku nyingi ambazo zinaweza kupelekea nchi kubaya ni vema Chadema wakawa makini na hilo.
   
 18. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
   
 19. N

  Nabihu JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  yeyote anaeingalia tume ya katiba kwa mising ya dini za wajumbe wake huyo ni kirusi asiyeitakia mema TANZANIA YETU...tumuogope huyu mzee
   
 20. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  mtei anatakiwa apumzike siasa amezeeka mno!anaanza kurudi utotoni,cdm wawe makini na maneno yake sometimes
   
Loading...