Hili bunge ni aibu tupu

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Yani ni aibu tupu eti leo ndio wanasimama bungeni kumkumbuka mahundi na kyaro. Aibu tupu juzi ndiyo yalisimama kumkumbuka kanumba. Yani ni aibuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Yani ni aibu tupu eti leo ndio wanasimama bungeni kumkumbuka mahundi na kyaro. Aibu tupu juzi ndiyo yalisimama kumkumbuka kanumba. Yani ni aibuuuuuuuuuuuuuuuuu
mimi nimetafsiri kama ni kitendo cha Naibu Spika kumuumbua Spika wake
 
hahahahahahaha bongo ni zaidi ya uijuavyo? yaani bora wangeuchuna tu ingepita kimya kimya sa hii ndo wameibua mambo? ogopa sana nchi inayoendeshwa kwa hisia hisia tu, ujanja ujanja na wizi wizi
 
Kumbe JF inaweza liongoza BUNGE, maana hili swala limelalamikiwa sana humu. Inaelekea serikali ipo makini na yanayojadiliwa JF kiasi kwamba inaweza kujaribu kujirekebisha kwa kukosolewa toka JF.
 
Ndo ccm hiyo ndg
yangu! Huku kwetu
umeme wamekata
alipouliza 2 mbowe
swali kwa
waziri mkuu.
Chuki ya
Kuichukia
ccm kwa kutukatia
umeme ovyo ovyo
ili 2sipate kinachoe
ndelea inazidi
kuniandama. Kwa
kweli kuipenda
ccm yapasa uwe
na akili ya MAITI.
 
It's a proof that we are led by simple mind, don't expect too much from this government - SHAME
 
bi kidude sio mzima, kwani nyie mnaona akili zake zipo saw sawa??
 
Back
Top Bottom