Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

Nani Kasema

Senior Member
May 31, 2011
148
27
Fikiria kwa makini alichokisema

Kisha uamue kama alichokisema ni uongo au ukweli?

NOTE - Ninaediti post hii ili kuongeza theme ya threads zangu
zingine ambazo mods wanaziunganisha na hii bila sababu yoyote
ya msingi.

Ninachokiongeza - ambacho ninataka kukiongelea kwenye threads zingine,
na ambacho mzee mtei hakukiongelea ni hiki:

JK na wenzake wana Mpango wa kuingiza mahakama
ya kadhi na OIC kwenye katiba ya Tanzania.

Ningependa kuwahakikishia wao (na mods wa hii forum)
kuwa, huo mpango hautafanikiwa ng'o,... hata wakijaza
watu wa dini moja kwenye tume ya katiba.
 
Zitto mwenyewe anakana kuwa hajayasema yaliyoandikwa na gazeti hilo

kazi kweli kweli
 
Amekana wapi, tupe link ya jf, hatutaki fb wala tweeter.

Zitto ameandika haya hapa JF

Zitto said:
Nioneshe popote niliponukuliwa kusema unavyosema hapa.

Sijawahi kumjibu Mtei moja kwa moja hata siku moja. Kwenye suala hili msimamo wangu niliuweka wazi hat kabla Mtei Hajasema.
Walioandika wameunganisha tu tweets zangu na kauli ya Mtei ambayo siiungi mkono hata kidogo. Mzee was mistaken.
Tume ya Katiba imeteuliwa kwa mujibu wa sheria. Haina Udini. Ina wajumbe ninaowaheshimu sana. Twende tukatoe maoni. Tuache maneno yasiyo na maana yeyote.
 
hivi tujiulize kama wajumbe wote wanaotoka tanganyika wangekuwa woote ni wakristo ama waislamu kuna mtu angeelewa kweli? Nakuhakikishia pangechimbika. Kwa upande wa zanzibar wajumbe kutokuwepo mkristo hata mmoja japo sii sheria bali busara kunamaanisha Zanzibar ni waislamu kwa asilimia mia moja. Na inamaanisha maslahi ya wakristo wachache waliopo hakuna wa kuyapigia chupuo katika maoni yanayotarajiwa kukusanywe. Busara haionyeshi kwamba kuna nia njema kwa hawa watu wasio waislamu katika visiwa hivi.
.
 
Kiby,

Hili ni swali ambalo wengi hawataki lijadiliwe hapa.
Wengi wamekimbilia tu kumlaani mzee Mtei bila
ya kujadili kile alichosema kama kina ukweli au la

Ukweli ni kuwa JK ni mdini - sasa ameanza kujionesha
wazi wazi.

Ukweli pia ni kuwa, kama angekuwa Mkapa ndiye kateua
tume ya katiba na akaweka wakristo wengi kuliko waislam,
maandamano yangekuwa ndio chakula cha mchana na jioni
kwa wakazi wa Dar.
 
Kwa mimi naona mzee kapresent fact ambayo ni ukweli kabisa...Ila ndio hivyo kwamba 'some things are better left usaid:nono:'
 
akikosea mzee.... Magamba watatumia hii kauli kuimaliza chadema.. kwa hili nipo na zito...
 
Wabongo mnanishangaza sana kuhusu suala la udini.
Yaani nyinyi mtu kuitwa Abdallah au John tayari mmesham-categorize kwenye dini fulani.

Mnasahau kua dini sio Jina, bali vitendo. Hivi mnawajua vizuri kimatendo hao mnaowaita waislam/wakristo???

Ok, tume ina wajumbe wengi wenye majina ya kiislam so wakristo wanalalamika, but waislam nao walalamike kwa kua Mwenyekiti wake Warioba ana jina la Kikristo????

Unataka ku-balance members between Zanzibar na Bara kwa kuweka idadi sawa. Zanzibar 99.99% ni waislamu so nusu ya wajumbe wote, yaani wale wa Zanzibar wote inakua waislam.
Unakuja bara atleast ni nusu kwa nusu so Bara unapata nusu waislam, nusu wakristo,
Mwisho wa Siku unategemea nini hapo?? Kosa liko wapi hapo??
 
Unataka ku-balance members between Zanzibar na Bara kwa kuweka idadi sawa. Zanzibar 99.99% ni waislamu so nusu ya wajumbe wote inakua waislam.
Unakuja bara atleast ni nusu kwa nusu so Bara unapata nusu waislam, nusu wakristo,
Mwisho wa Siku unategemea nini hapo?? Kosa liko wapi hapo??

Lipo hapo kwenye kujaribu kubalance
 
Mzee Mtei yuko right kabisa. What he did is to' hit the nail on the head'. JK ni MDINI SANA. Aliwaahidi Waislam mahakama ya kadhi na OIC. Amejaza Waislam wengi kwenye tume kwa makusudi ili kuhakikisha mahakama ya kadhi na OIC vinaingizwa kwenye katiba mpya. Wakristo hatukubaliani na huu udini kamwe. Patachimbika kwa hili.
 
Hujasoma alichokiandika Mtei? Na imedhibitika ndiye baada ya Mnyika kusema hayo ni maoni yake na sio chama. CHADEMA sasa umedhibitika udini!

Nimejaribu kukielewa ulichoandika hapo ila imeniwia vigumu

Unaweza kurudia ukaeleweka?
 
Lipo hapo kwenye kujaribu kubalance

Ukiacha alichofanya, Otherwise ingekua ni vurugu zaidi.
Mfano Kwakua Zanzibar karibia wote ni Waislam basi Bara angeweka wote Wakristo.

Au vurugu ingine ni pale idadi ya Wanzibar ingepunguzwa halafu wakachanganywa na Waislam kadhaa wa Bara ili waje walingane Na Wakristo wa Bara.

Lakini tuna tume ngapi zimeundwa hakuna aliezungumzia udini mpaka linakuja linaibuka leo???

Gender imebalance?? Makabila je?? Au Rangi?? Wajihi?!! Itikadi za kisiasa??
Why udini???
 
Kwa sababu JK ni mdini aliyekubuhu
 
Wabongo mnanishangaza sana kuhusu suala la udini.
Yaani nyinyi mtu kuitwa Abdallah au John tayari mmesham-categorize kwenye dini fulani.

Mnasahau kua dini sio Jina, bali vitendo. Hivi mnawajua vizuri kimatendo hao mnaowaita waislam/wakristo???

Ok, tume ina wajumbe wengi wenye majina ya kiislam so wakristo wanalalamika, but waislam nao walalamike kwa kua Mwenyekiti wake Warioba ana jina la Kikristo????

Unataka ku-balance members between Zanzibar na Bara kwa kuweka idadi sawa. Zanzibar 99.99% ni waislamu so nusu ya wajumbe wote, yaani wale wa Zanzibar wote inakua waislam.
Unakuja bara atleast ni nusu kwa nusu so Bara unapata nusu waislam, nusu wakristo,
Mwisho wa Siku unategemea nini hapo?? Kosa liko wapi hapo??

Very good. Wonderful.
 
Back
Top Bottom