Watanzania dhambi hizi zitatupeleka motoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania dhambi hizi zitatupeleka motoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by darubin, Apr 13, 2012.

 1. darubin

  darubin JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 715
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 80
  Ndugu zangu twaweza ukajiuliza kwa nini matatizo mengi na ya ajabuajabu na siyo kuwa nakichwa
  wala miguu yatokee tanzania,baadhi ya mambo ambayo tumekiuka ni haya hapa:-


  →fitina na uonevu
  →kuipenda CCM
  →kuhudhuriamikutano ya viongozi wa CCM
  →kupokea au kutoarushwa
  →wizi na uongo
  →kutowapaushirikiano wanaharakati wenye uchungu na umaskini
  Wetu.
  →kumpenda LOWASAna tabia ya kutokunyosha vidole viwili juu
  →kutajataja jina la JK kuwa ni raisi mwadilifu
  →kutokuwa na kadi ya chadema
  →kuvunja ndoa za watu

   
Loading...