KESI hizi zimeishia wapi??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KESI hizi zimeishia wapi???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dguyana, Apr 13, 2012.

 1. d

  dguyana JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanabod Waaasalamu aleikum & Bwana asifiwe,

  Kuna yeyote mwenye update za kesi zifuatazo atujuze??

  1. Karamagi na mwenzie kesi ya ubadhilifu.
  2. Mwakalebela na Mrs Sitta - Kesi ya rushwa.
  3. Mtoto wa liyumba - Madawa ya kulevya
  4. Mtoto wa mengi - Madawa ya kulevya
  5. Askofu na wenzie arumeru - Rushwa.
  6. ....... Weka kama unayo...

  Maana tunaona kesi zinazopewa coverage ni za uchaguzi tu hasa za chadema kunani hizi????
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  2.Kesi ya Mwakalebela ilisha isha na Alishinda ushahidi haukujitosheleza intelijensia ilisinzia kidogo
   
 3. d

  dguyana JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebwana duu!!
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  padri KIMARO kulawiti katoto kijana maeneo ya udsm imeishia wapi?
   
 5. d

  dguyana JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na ile nyingine ya wale wachungaji wa nigeria wa madawa ya kulevwa vipi ile?
   
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kesi ya ndugu yake Rostam aliyekamatwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya mabillioni ya shilingi!

  Kesi za Epa zinazomhusu Jeetu Patel?
   
 7. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Uchunguzi juu ya Hosea wa TAKUKURU
  Uchunguzi wa polisi waliohusika na kumbambikia mtoto wa Mengi madawa
  ......................................

  Kupitia thread hii naomba mods watuwekee thread moja ya kuendelea(ndiyo sticky?) kufuatilia kesi hizi na tume zinazoundwa kila kukicha kwani wanfanya hivyo kutupumbaza kuwa jambo linashughulikiwa.
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kesi hizi zilipitia tundu lilelile walipopitia waliouziana nyumba za serikali,kiwira,upakiaji na upakuaji makontena bandarini,lupembe chai,kapunga,richmond,meremeta,buzwagi nk.

  Msijali kwa wanaojua historia ya madhalimu atajua ni nini kinafuata na lini.
  Ila kwa wakwapuaji wanajificha kwa kufumba macho tunawapa pole.
   
Loading...