Tembo wa TANAPA watishia maisha ya watu Mang'ula

Magane

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
202
57
Hali ya maisha ya wakazi wa Mang'ula yako hatarini baada ya kundi kubwa la tembo kutoka milima ya Udzungwa kuvamia mji mdogo wa Mang'ula. Mamlaka husika ichukue hatua haraka kabla madhara makubwa kwa watu pia na wanyama hayajatokea.
 
Back
Top Bottom