Kesho tume ya katiba inaapishwa ikulu

Status
Not open for further replies.
Mar 1, 2012
29
10
Kesho tume iliyoundwa na Rais itaapishwa rasmi ikulu Dar.

Nawasihi Wtz wenzangu tuache malumbano yasiyo kuwa na msingi kuhusu wajumbe dini zao wametokea wapi ni wa vyama gani nk.Jambo la msingi Mtz mwenzangu tunapaswa tujue kwamba KATIBA ni sheria mama tushiriki kikamilifu ktk mchakato wa kuandaa hoja-maoni hadi katiba ipatikane.

Katiba itatusaidia kuziba mianya a mfumo mbaya wa uongozi.Pia itasaidia kuweka mfumo mzuri kiutawala, rasilimali zetu zitalindwa, tutaainisha mihimili ya uongozi, chaguzi zetu zitafanyika kwa haki.

Kwa sasa tutumie muda mwingi ktk mchakato huu watz tunatabia ya kupuuzia mambo baadaye tunaanza kujuta so kw hili umakini uwepo.Tuhamasishane hasa ili tutengeneze kitu safi tofauti na kile cha 77.

Akina mama,vijana,walemavu,watu wa dini kazi kwenu.

Mungu ibariki Tz yetu.
 
Kesho tume iliyoundwa na Rais itaapishwa rasmi ikulu Dar.Nawasihi Wtz wenzangu tuache malumbano yasiyo kuwa na msingi kuhusu wajumbe dini zao wametokea wapi ni wa vyama gani nk.Jambo la msingi Mtz mwenzangu tunapaswa tujue kwamba KATIBA ni sheria mama tushiriki kikamilifu ktk mchakato wa kuandaa hoja-maoni hadi katiba ipatikane.Katiba itatusaidia kuziba mianya a mfumo mbaya wa uongozi.Pia itasaidia kuweka mfumo mzuri kiutawala,rasilimali zetu zitalindwa,tutaainisha mihimili ya uongozi,cgaguzi zeyu zitafanyika kwa haki.Kwa sasa tutumie muda mwingi ktk mchakato huu watz tunatabia ya kupuuzia mambo baadaye tunaanza kujuta so kw hili umakini uwepo.Tuhamasishane hasa ili tutengeneze kitu safi tofauti na kile cha 77.Akina mama,vijana,walemavu,watu wa dini kazi kwenu.Mungu ibariki Tz yetu.
 
Labda kama masikio yangu yalisikia vibaya, imeahirishwa hadi tarehe 30 mwezi huu.
 
serikali mbona haieleweki? Awali walitoa taarifa tume itaapishwa mwishoni mwa mwezi huu tarehe 30 ili mei mosi tume ianze kazi rasmi... weken vitu na taarifa za kueleweka kama ni tetesi basi ijulikane!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom