Salamu kwa PENGO, MALASUSA na mufti mkuu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salamu kwa PENGO, MALASUSA na mufti mkuu!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Vakwavwe, Apr 2, 2012.

 1. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Matokeo ya Arumeru mashariki yamenipa raha sana,nawapa salamu zangu za dhati viongozi wa dini niliowataja hapo juu na wengine wanaofanana nao ya kwamba wananchi tukiamua kufanya kitu hawawezi kutuzuia. Wamekuwa msitari wa mbele kumsafisha Lowasa na maufisadi yake na kudhani wananchi wote wanapumbazika kumbe kumekucha,wananchi wanajitambua vilivyo. Na infact wanatakiwa kujua heshima waliyonayo ni sisi wananchi tunawapa ila kwa mwendo huu wa kuambatana na mafisadi tutawapuuza na hawataweza kutuzuia. Kila siku mtu mmoja anasimika maaskofu,mara harambee mara kuchangia shule,mara kwenye maulidi usiku asbh yake kusimika askofu!!!!how?why???viongozi wa dini mnatumika siyo bure...harambee kigoma mara shinyanga mara moro mara dar..kwa nini mtu huyo huyo? Tena mwenye kashfa?? Kwa matokeo ya arumeru mjifunze,tumewashinda wote mafisadi na matawi yao na wote wanaowasafisha...ccm inasemekana ziko kadhaa na hatukuchagua tumepiga kichwani wote ili waamke itachukua muda.hizi ni salamu zangu kwenu viongozi wa dini na wote mnaodhani mna mbeleko ya kubeba mafisadi.
   
 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Heh heh mkuu hiyo ni indiketa au ndio kubip hizo hela anazotoa makanisani zinaliwa buure afadhali aziweke zije wasaidia wajukuu zake,kama ARM tumeweza kwa nini kwingine tusiweze?masikini ya Mungu kampotezea tu muda mtoto wa watu badala ya kuomboleza sijui arobaini tayari kijana wa watu akalazimishwe aingie ulingoni eti kisa mkwe yupo nyuma yake,thubutuuuu hata aje nani wananchi wakiamua inawezekana
   
 3. p

  pembepembe Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kawaida ilikuwa vita kati ya kkkt na katoliki!
   
 4. p

  pembepembe Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe hata wenyewe kwa wenyewe!
   
 5. p

  pembepembe Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "ukizoea kula nyama ya mtu huwez kuacha" by nyerere
   
 6. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kiaje maana nijuavyo mimi nasarri na sioi wote walutheran na askofu wao mmoja!na nijuavyo mimi askofu wa lutheran meru ni m2 msomi,mwadilifu na mcha mungu na hakuonyesha bias yoyote au alisikika wapi akiwa biased?
   
 7. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu Pembepembe kuleta hoja za udini na ukabila ni kufilisika kichwani,hakutatufikisha popote,kila mtu aachwe na imani yake,tujikite ktk vitu vya msingi kwa taifa letu!
   
 8. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  hata ukeshe ukiomba hujikusikia vita aina hiyo. Ulaaniwe kwa mawazo yako mbofumbofu.
   
 9. Panga la Yesu

  Panga la Yesu JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa sijaelewa!
   
 10. Nang'olo Ntela

  Nang'olo Ntela Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  "... mufti mkuu" ni cheo cha mtu, ianze hata na herufi kubwa basi au haistahili?
   
 11. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  blue on blue
   
 12. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muft mtoe hajawahi kumsafisha LOWASA
   
 13. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Alishalamba hela kwa Lowasa hadi shule wameita jina la EL kule Kigamboni. Fuatilia utagundua karibu viongozi wote wameshaingia mkeke kwa huyu jamaa.
   
 14. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mpaka Nigeria ndani..jamaa ananguvu kama Al-Asaad wa Syria.
   
 15. ADAM MILLINGA

  ADAM MILLINGA Senior Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu usikae hata siku moja kuwakosea viongozi wa kiroho watake radhi kama utojali
   
 16. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  PESA unachukua ila apati kitu usiwe mjinga ata akija kwako we zilambe tu
   
 17. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280

  [​IMG] [​IMG]  [​IMG] [​IMG]

  Ha, ha, haaa...!
  Nani amcheke mwingine?

   
 18. H

  Hodarism Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah suala la dini mi mzito kulichangia ila cha muhimu siasa na dini , viongozi wa pande zote (wa siasa na dini) watumie hekima sivyo tutasambaratisha taifa.
   
 19. A

  Aristolicius Senior Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kwa wale wajuao dini,dini ipo ili kubalisha waovu,viongozi wa dini hawana haki ya kumfukuza mtu akaribiapo kanisa au msikiti huko ndikpo watapombadilisha! kuhusu Arumeru Hongera Nassari na kwa wadau wa jf tujadili matatizo na solution yanayotukumbuka kujaribu kuleta udini ktk siasa ni upotezaji wa muda!
   
 20. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama Pengo amewahi kumsafisha Lowasa.
   
Loading...