GreatThinkers,
Sikiliza TBC ingawa akiongea mazuri yao wanainterfere matangazo ila ni bora kuishi na wakoloni weupe kuliko wakoloni weusi. Acheni Mapr
Kwa kifupi anasema,
-Wakoloni walianzisha...
Kuna wanzanzibar eti hawataki muungano ,hawa watu wanatumiwa na viongozi wa huko wasiotaka muungano baada ya kuanza mchakato wa katiba mpya hatuwalazimishi nafikiri waende kwenye mahakama ya...
Baada ya uchaguzi mkuu 2010 kuisha kikao cha kwanza cha bunge kiliendana na uundaji wa kamati!ccm walijitaidi kwa nguvu zote kuitikisa kambi rasmi ya upinzani bungeni iliyokuwa inaundwa na cdm ili...
Nimesoma makala ya Paschally Mayega ameandika makala nzuri sana na zaidi ya yote anamnukuu Lema akisema Jk na makada wengine wa ccm walimuita katika kikao cha faragha kumtaka agombee ubunge...
Tatizo kuu la wakazi wa Dodoma ni shirila la CDA. CDA kazi yake hapa dodoma ni kuendeleza makao makuu ya nchi. Kwa sababu hiyo shirika hili linasimamia upimaji na ugawaji wa viwanja. Hata hivyo...
Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo anatarajia kufanya ziara ya kuimarisha chama mkoani Shinyanga kuanzia Tar.16/04/2012.
Atatembelea pia Jimbo la Mbongwe ambapo atakagua jengo jipya...
Msimamizi wa uchaguzi, na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Singida, Bi. Illuminata Leornard Mwenda, amepanda kizimbani katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Singida mashariki, Yeye...
Thursday, 15 September 2011 22:52
Dar es Salaam. The chairman of Parliament's Energy and Minerals Committee, Mr January Makamba, has questioned the government's commitment to ending the...
Muungano wa Tanganyika na Zanziba uliofanyika mwaka 1964 una mapungufu mengi hasa kwa upande wa Tanganyika hasa katika mfumo wa mamlaka ya juu kabisa ya uongozi maana wanzanzibari hakuna siku...
Kuna tetesi hapa A town kuwa Nassari anaandaliwa zengwe la kufikishwa mahakamani eti kwa kuchimba visima alivyoahidi wakati wa kampeni bila kibali cha serikali. Magamba wanadai ni kitendo cha...
Huyu jamaa kila siku anapenda kutetea maslai ya wanao Watesa watanzania
1.Kipindi wanapitisha sheria ya manunuzi Bungen,Mnyika anasema iwekwe azabu kali kwa wale watao kiuka sheria hiyo,yeye...
Inasikitisha sana kuona sasa Judicial system yetu kwisha habari yake, na hiyo ni kutokana na hawa jamaa(majaji) kuwa presidential appointees. Lazima wafanye kazi kwanza kuhakikisha wanalinda...
Kwanza alijenga viwanda kwa mfumo wa uchumi wa kujitegemea- Alihakikisha ana Heavy Industries katika sekta nyingi kama vile Kiwanda cha Karatasi Mgololo ambacho kilitumia maligafi ya miti ya...
Haya wadau tuisikilize serikali yetu, mwenye ushahidi wa vifo vilivyosababishwa na mgomo alete kwa sasa hii ndio kauli ya serikali yetu sikivu;
SERIKALI imesema hakukuwa na ongezeko la vifo...
Wengi tulishasoma habari za Mfalme Herode wa Israel jinsi alivyoamua kuua watoto wote wachanga wa kiume, baada ya kupata habari kutoka kwa Mamajusi wa Mashariki, kuwa amezaliwa mtoto ambaye...
Katiba mpya ni muhimu sana tuna katiba ya sasa tangu uhuru kwa takribani miaka 50 sasa hivyo ni kweli katiba inahitajika kunasheria nyingi za kikoloni zimepitwa na wakati hivyo katiba ni muhimu...
Deus Bugaywa
Mwanza
Wenje akikabidhi misaada
Wachangia Elimu ya Nyamagana
Joto la uhasama wa Kirumba chini
HARAMBEE ya kuchangia mfuko wa elimu wa Jimbo la Nyamagana hapa, iliyoitishwa...
Waziri kivuli wa afya mbona kimya juu ya ufisadi Medical stores?
waziri kivuli wa utamaduni mbona yuko kimya juu ya ufisadi unaoendelea kwenye wizara ya emanuel nchimbi? (serikali kugharamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.