Baada ya ushindi wa kishindo kwa chadema arumeru,ccm na wapambe wake waufyata mkia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya ushindi wa kishindo kwa chadema arumeru,ccm na wapambe wake waufyata mkia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Apr 12, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hi imejidhihirisha baada ya wapambe wa ccm pamoja na lowasa kishiwa mbwembwe,
  zile kelele na mbwembwe za wapambe wa Lowasa kuwa lazima awe raisi zimeyeyuka ghafla,baada ya chadema kuwagaragaza kwa kishindo.Lowasa kaingiza mkia katikati ya miguu kama mbwa koko,hi ni baada ya Dogo Janja kumtimua mbio kule arumeru sasa kajichimbia dar es salam,na zile ziara za makanisani zimeyeyuka ghafla mithili ya barafu ndani ya jiko la gesi (CHADEMA). DR,SLAA wa ukweli alijaribu kumwanya lakini hakusikia, sasa kapata aibu isiyo na mfano tena ukweni.

  Nae gorila aka chimpanzee aka vuvuzela la ccm karudi zake msituni baada ya kukosa ndizi na mchwa mjini.alijifanya mzee wa kupangua hoja,badala yake hoja zikampangua,sasa hana jipya anakula mchwa Gombe "N"park,

  sasa ccm wanamtafuta mchawi wanataka kumfungulia Dogo Janja kesi kisa eti hana kibali cha kuchimba visima vya maji alivya anza kuvichimba huko mbuguni,

  Na sasa baada ya siasa kuwashinda wameamia kuwa mahakimu na majaji.

  kweli mnatapatapa na hamtapata
  pakujishika.
   
 2. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,809
  Likes Received: 17,912
  Trophy Points: 280
  Hata Mashostito wa Lowasa humu JF kina Rejao na Pasco chali, hata mistari miwili kuchangia uzi inawashinda, wamebaki kudandia-dandia tu, ajira zipo mashakani. Hawajachelewa, sisi tunakula CCM, tunapiga story CCM B, ila tunafanya sala na tunalala CHADEMA. Wao wanakula na kulala kwenye wallet za Magamba. Hawana issue tena, ni kama mitumba
   
 3. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nimeipenda hii! Hivi Faiza Foxy yuko wapi siku hizi?
   
 4. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli dogo janja amenikomeshea magamba
   
 5. c

  collezione JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Sijakusoma hapo mkuu... Yani dogo janja hana kibali cha kuchimba visima?????
  Ebu ongea kwa msisitizo hapo
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  Lowassa inabidi arudi kwa yule mpiga ramli TB JOSHUA amrejeshee pesa zake za kusafishiwa nyota.
   
 7. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Dogo janja ni noumer ,lowasa hajui atoke vipi kila kitu kimeparaganyika.POOR HIM
   
 8. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  nime ipenda hi kaka.
   
Loading...