Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani mwenye uhakika na hili atuweke sawa..asubuhi kwenye radio nimesikia rais katua dodoma patawaka moto, wengine wanadai bado hajatua nchini, lipi sahihi jamani.
0 Reactions
6 Replies
995 Views
Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni mbunge wa mbozi magharibi aliuliza swali kwenda kwa wizara ya ujenzi akitaka kujua ni lini barabara ya inayounganisha wilaya za Rungwe na Kyela...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Waziri wa kwanza wa Tanzania kutafutiwa sain za kuto kuwa na imani
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tanzania nchi yangu nakupenda kwa moyo wote. Nitafia hapahapa Tanzania. Rais...amewasili...Malawi leo jioni kuhushuria Mazishi...anatarajia kurejea nchini kesho tarehe 23 April mara baada ya...
1 Reactions
96 Replies
8K Views
Katika siku za karibuni kuanzia uchaguzi wa Arumeru,ziara za makamanda mikoani,matukio kutoka bungeni CTV mnatuangusha chadematv - YouTube
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunaomba hoja wazee wa dar au mnasubiri bahasha za sh.30000 mumesharizika?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAZANZIBAR wanawatangazia wazanzibari wenzao wote duniani kua siku ya jumatano tar 25 April Kuamkia siku ya alkhamis itafanyika dua kubwa msikiti mkubwa wa kidongo chekundu usiku mzima katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DR.Kitila akiwa ameambatana na DR. SLAA,LEMA na wapambanaji wengine wa Taifa hili amenena hivi:Akihutubia maelfu ya wakazi wa Mwanza kwenye uwanja wa SAHARA Dr.Kitila wa UDSM amesema kama...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
I'm from kenya and would love to see kikwete as the head of a united East Africa, he will probably improve Kenya to the level which Tanzania is economical..mwaonaje?
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Hivi jamani Huyu rais wetu "is his common sense common kweli"? hata Biblia inasema "Enyi wagalatia ni nani aliyewaloga? ikifanyika sensa watanzania tutakuwa Mil 48 and above, sasa anatuongozaje...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Kp ni noma nimecheka sana esp hilo tabasamu la madame
3 Reactions
6 Replies
1K Views
kwanza nitumie fursa hii kuupongeza uongozi na team nzima ya cdm bila kumsahau kijana machachari bwana nasari kwa kupewa dhamana ya kuliongoza jimbo la arumeru mashariki. Pia nitumie nafasi hii...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo: JK Atua Blantyre Kushiriki Maziko Ya Bingu Wa Mutharika
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nape katibu mwenezi jamani mbona kimya? je unaumwa huwezi kuongea? Leo nimeona ITV watu wanarudisha kadi za ccm na Tshirt na vitenge imenisikitisha sana Tumebaki vijana wachache ambao tunatetea...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Sehemu. "...utawala bora" ibadilishwe na isomeke "...uongozi bora" Asante.
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Katika katiba mpya wagombea urais, wabunge ambao kabla ya kuchukua fomu kwa nia hiyo kama watakuwa na uraia wa nchi mbili wasiruhusiwe kugombea urais wala ubunge. Hii itatokana na ukweli wa haya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi sasa nipo bonde la mkwajuni magari hayaendi foleni kubwa kupita kiasi.Mafisadi wanatafuna pesa zetu wakati tungeweza kujenga barabara ya juu kwa juu kutokea studio ikapita jangwani,machinga...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Nipo Chadema kuwadhihirishia Watanzania kwamba nawapenda. Pia najali rasilimali za Watanzania na kushiriki kuzilinda kwa matumizi endelevu kwa ajili ya vizazi vijavyo.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Dr, Slaa amesema kama mchakato wa kumg'ona Waziri Mkuu uatachakachuliwa bungeni CDM itawaongoza watanzania kupiga kura kwa kusaini sahihi milioni 8 za kumuondoa Rais madarakani. Ameyasema hayo...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
CHADEMA yafanya mkutano mkubwa jijini Mwanza tar 22/04/12 uliohudhuriwa na mamia ya watu! Mh. Dr.Wilbroad Slaa akiambatana na Mh.Lema walihutubia wananchi kwa umahili na umakini mkubwa pia kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom