Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wapendwa, We're witnessing a reverse trend on the subject above. I though Kujivua Gamba meant to cleanse CCM house by exterminating corrupt members. The campaigners thought by doing so, the...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Na Stephano Mango, Songea KATIBU wa Chama Cha Tanzania Labour party (TLP) jimbo la Songea mkoani Ruvuma Joseph Mkondora (72) ametangaza kujivua uwanachama wa chama hicho ambacho amedai kuwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau naomba ufafanuzi kwa mwenye kujua sheria za VOTE OF NO CONFIDENCE! Sheria inahitaji asilimia ngapi ya wabunge ili kuleta hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Kura pia inahitaji...
3 Reactions
444 Replies
38K Views
Hakika Serikali ya JK haibebeki kabisa , leo Kamati ya Ardhi Maliasili na Mazingira ya Bunge kwa mara nyingine imemlipua waziri maige na watumishi wa Wizara ya Mali asili na utalii kwa kashfa...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
kwa wanaojua kumla samaki, ili ujue bado ni mzima huwa unaanzia kichwani. nionavyo mimi samaki huyu ameoza kuanzia kichwa hivyo hafai kuliwa.......ila kusaidia wadudu hawa wasiendelee kuleta...
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Ndugu zangu, Katika dunia hii mwanadamu huwezi kumchagua jirani yako. Jirani yako ni jirani yako. Msiba wa jirani ni msiba wako pia, unakuhusu. Maana, kuna wanaohoji JK kuacha mambo ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana JF..,ni muda mrefu nilipotea nilikuwa kifungoni..,lakini nimerudi tena! Leo napenda kuiongelea nchi yangu Tanzania, Ambayo imejaaliwa kuwa na rasilimali za kutosha kuweza kuijenga...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
oyo 2wemakini na mchakato wa katiba coz ,raia tunazidi umia kua makini kijana mwenzangu,coz tanzania ni yetu sote.FROM IFM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida ktk pitpita zangu inaonekana Lowasa anakubalika sana na wananchi wengi kwamba anauwezo mkubwa sana wa kufanya maamuzi ya kiuongozi na endapo atakubali kutangaza nia...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Wadau kama mbunge wako hajatia sahii,mtumie message umwambie black n white kwamba 2015 asirudishe pua yake na kuanzia leo sio mbunge wetu coz atuwakilishi sisi bali anawakilisha mafisadi so hatuna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF,Ukaguzi unaofanywa na CAG ni sampuli (Auditing by Sample) matokeo yake hatupati ukweli wote na kwa maana ya ukaguzi ni kutoa maoni ya kiutalamu tu na siyo uhakika kamili.Ukaguzi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF 1. Inashangaza sana, Rais J.K amekuwa huko Brazil kwa takribani siku 10 2. Mhe. Rais amerudi na kuelekea kwenda kulala msibani Malawi.....wapi na wapi Rais mzima kulala msibani? 3...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ni kweli Pinda anahitaji kujiuzuru kutokana na kukosa kwake meno (ila ukweli ni kwamba, hata yule atakayekuja huenda akawa ni wale wale or even worse), Sababu hatujui kama Pinda anabanwa from the...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ni kweli kuna mawaziri wamelazimika kuachia nyadhifa zao kwa shinikizo kutoka CCM na kama ni kweli wameshinikizwa kujiuzulu ili kukinusuru chama tawala, CCM, inasikitisha, inaudhi na...
17 Reactions
135 Replies
12K Views
Mwaka jana kwenye bunge la bajeti siku Waziri Kaghasheki alipohitimisha bajeti ya Wizara yake kulikuwa na wachangiaji wengi. Siku hiyo neno "maandamano" lilitawala mijadala. Mnakumbuka hadi...
32 Reactions
63 Replies
8K Views
kwanini?wanafunzi waelimu ya juu,atupewinafasikubwa katika swalazima lakatiba.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear JF,may you contribute here whether the necessary cause and reasons for the social revolution have inevitably vailled or unvailled? To me I find the prevaling social chaos as among of the...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
CDM imeibuka na ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa jana kwa habari zaidi tembeleaBUKOBA PAMOJA BLOG
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom