Pinda Mizengo Kayanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda Mizengo Kayanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by baraka moze, Apr 22, 2012.

 1. b

  baraka moze Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Waziri wa kwanza wa Tanzania kutafutiwa sain za kuto kuwa na imani
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Hili likifanikiwa roho yangu itakuwa na amani kidogo sababu huyu mzee kwa ****** hashindanishwi na mtu yeyote tena ni kama vile msukule katika utoaji wa maamuzi
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  Mizengo 'Bonanza' Pita halafu pinda kulia
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tatizo kubwa la huyu bwana si muwazi, ni ndumila kuwili ang'atae huku na kule. alianza na Mungu ila atamaliza na SHETANI!
   
 5. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Uso umejaa makunyanzi! sababu ya kuwekwa kati na mijizi ya nchi yetu! toka huko wewe pinda mpumbavu!
   
 6. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,032
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Mwacheni mizengwe pindwa atalia sasa hivi.
   
 7. S

  SokoroDar Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani bosi wake ndo anaemuangusha huyu jamaa , mara nyingi anakuwa kwenye dillema !
   
Loading...